CCM: Nafasi ya Makamu Mwenyekiti yageuka gumzo

Masatu,Nyangumi,Mtupori,Marshall ES,

Hivi kwanini Malecela anakubali kuwa abused na kutumiwa na CCM kiasi hicho? Wakati wa kampeni wanampenda, lakini akijaribu kugombea Uongozi wanamtukana.

Kwanini hajitoi huku CCM? Anaogopa nini? Huyu Mzee CCM wanaweza hata kumtumbua jicho na yeye akaendelea kukaa humohumo.

Mwalimu kamtukana,Mkapa kamtukana, mwisho hata huyu bwana mdogo kwake Kikwete atakuja kumtukana. YOU WAIT!!
 
Hilo ni kweli uliyosema lakini yanayoendelea huko ccm sidhani kama hapa watu wanayajua hivyo yatakayosemwa ni "thoughts" za watu.

You made a good observation juu ya mzee Malecela na hayo anayotendewa !
 
maadili umeyatoa wapi kila siku thread zako ni ngono ngono tu nadhani hata upeo wako ni mdogo!

mbona hawakusema bilioni moja imetumika kununua hiyo nyumba waseme milioni 800? usikimbie kuamini mtu eti tu ni kiongozi! wewe nani anakuaminisha kuwa hatuwachukii hao viongozi wake?

acha uzembe kama huna mpya!
 
Masatu,Nyangumi,Mtupori,Marshall ES,

Hivi kwanini Malecela anakubali kuwa abused na kutumiwa na CCM kiasi hicho? Wakati wa kampeni wanampenda, lakini akijaribu kugombea Uongozi wanamtukana. Kwanini hajitoi huku CCM? Anaogopa nini? Huyu Mzee CCM wanaweza hata kumtumbua jicho na yeye akaendelea kukaa humohumo. Mwalimu kamtukana,Mkapa kamtukana, mwisho hata huyu bwana mdogo kwake Kikwete atakuja kumtukana. YOU WAIT!!

Kwa hiyo kwa mantikii hiii mkuu Joka unashauri tukitukanwa hapa forum tuondoke mara moja? Na kwamba kiongozi yoyote akitukanwa tu kwenye siasa basi aondoke?

Huwa ninaheshima na mciahngo yako siku zote, lakini not this one!
 
wewe ES huyo aliyeuliza hilo swali hakuwa na maana na kukuchimbia na wewe wala mzee Malecela kwa uelewa wangu, nadhani ameuliza kitu kizuri, kwa nini Malechela hapewi heshima anayostahili ??
 
Kwa hiyo kwa mantikii hiii mkuu Joka unashauri tukitukanwa hapa forum tuondoke mara moja? Na kwamba kiongozi yoyote akitukanwa tu kwenye siasa basi aondoke?

Huwa ninaheshima na mciahngo yako siku zote, lakini not this one!

Mkuu ES,

Heshima mbele mkuu. Samahani sana kwa kupotea kwa muda mrefu kushughulikia maboksi ambayo yalinizidia. Naona wakuu bado mnaendeleza moto ule wa mwaka jana.

Nakubaliana kabisa nawe MFES, yale uliyotabiri kule bsctimes kuhusu wanamtandao na malecela naona mengi yanazidi kuwa kweli. Inasikitisha kuwa mimi ni mmoja wao waliokupinga na kukutolea lugha kali lakini sasa nimeanza kukuamini.

Malecela itabidi akae huko huko ccm hadi kieleweke. Atoke tu kama anataka kustaafu na sio kuwakimbia wanamtandao.
 
Mzee Kada,

Wewe unapewa heshima unayostahili hapa forum? Mbona upo unagoja nini?

Kama mwanachama hai wa CCM, maneno ya Joka yanaihusu tean sana, maana ni ni ile kitu huwa tinaiita hapa divide and rule, maana hayana tofauti yoyote na yale tuliyoyaktaaa ya kumkashifu Dr. Slaa, majuzi, betweeen the lines yalikuwa na nia ya ku-idivide and rule Chadema!
 
sawa mkuu, lakini still nadhani hujanielewa. sikuwa na maana ya kumponda malecela bali pia binafsi i was curious kuhusu kupewa respect, lakini kama hatujaelewana mkuu, basi yaishe !

Haya mkuu, am out !
 
Mkuu ES,

Heshima mbele mkuu. Samahani sana kwa kupotea kwa muda mrefu kushughulikia maboksi ambayo yalinizidia. Naona wakuu bado mnaendeleza moto ule wa mwaka jana.

Nakubaliana kabisa nawe MFES, yale uliyotabiri kule bsctimes kuhusu wanamtandao na malecela naona mengi yanazidi kuwa kweli. Inasikitisha kuwa mimi ni mmoja wao waliokupinga na kukutolea lugha kali lakini sasa nimeanza kukuamini.

Malecela itabidi akae huko huko ccm hadi kieleweke. Atoke tu kama anataka kustaafu na sio kuwakimbia wanamtandao.

mwafrika karibu, ulikuwa bize na maboski wakati gani ( ndio kwanza 2 posts ) au you went by another name, kARIBU FORUM !!
 
Mzee MMJ,

Umesahau katibu, Kinana!

Makamba, maji ya shingo baada ya kumuudhi Muungwana, kuhusiana na uchaguzi wa Kigoda, NEC huko Tanga........!

Lowassa, anautaka lakini kitendo cha mtoto wake kununua nyumba ya Shillingi Millioni 800, nyumba ambayo Muungwana alienda kuiona kwa macho yake saa za usiku, na maneno ya Lowassa kuhusu wazee kujiondoa uongozini, mkono wake kwenye kesi ya wabunge, kumempunguzia sana uwezekano wa kupata hiyo nafasi,

So far Muungwana, amekataa kumwambia mtu yoyote atampa nani, lakini we will soon find out kabla ya ya wiki ijayo, tutaiweka hapa hapa JF, it is coming!
Kwahiyo mtoto wa lowassa kununua nyumba tatizo
 
Mkuu hakuna maneno, heshima mbele tunaendelea kuzifukua dataz tu, zingine zinasema kuwa mkuu Lowassa, kumbe ana mtu wake ndani ya Tanzania Daima, ambaye humbonyeza in advance kama kuna article ya kumkosoa, kwa mfano hivi majuzi ilitakiwa itolewe article kali ya kumlima kutokana na yeye Lowassa, kutukanwa na mkuu mmoja wa wilaya, kule alikoulizwa na mtoto mdogo maswali yasiyojibika, majibu ya wananchi kutoka mkoa wa Lindi, ambayo waliyatuma kwa gazeti hilo, waliomchagua mwenyekiti wao wa CCM mpya hivi karibuni mwenye umri wa miaka 76, na jinsi alivyotukanwa na Muungwana, kuhusiana na maneno aliyoyasema kuhusu viongozi wazee, na maswali ya yule mtoto,

Tunasikia the night before the arctile itolewe, mkuu akwamwagia mapesa na hasa huyu mtu wake, article ikazimwa, ujumbe wangu huko ni kwamba huwa tunaamini sana Tanzania Daima, sasa kama na nyinyi mmekuwa penetrated na hawa wakulu sasa tutamuamini nani?
LOWASSA alianza kuandaa mapema si Tanzania daima TU, MAGAZETI yote
 
Back
Top Bottom