Profesa
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 905
- 624
Mchambuzi, My speculation ni kwamba CCM will sneak out with a female candidate to get away from conflict and neutralise the enemity that is currently chewing the party. CDM is likely to get stack on that cause so far they dont have much of potential female on the list, this is so important to consider as an issue.
Na lile kundi la 5. ulilolitaja hapo juu la Wazee waliopita linaweza kutumika kuepuka uwezekano wa mapambano. Nimefuatilia uchambuzi wako kwa kweli ni mzuri sana. Kuna kitu kimoja, umegundua kuna kundi jipya linaloimarishwa sasa? Hili linamuunga Mkono raisi na hao watakaopendekezwa nae? Na kutokana na Rais JK kujifunza kutokana na makosa yaliyojitokeza na ugumu wa kukisimamia chama, nadhani ataungana na Wazee uliowataja kukiokoa chama. Hawa tayari wamepewa nafasi nyeti katika Wizara Nyeti kuhakikisha CCM ina weka ushahidi wa kimaendeleo. Hawwa wanaaminika hupenda kufanya kazi zao kwa matokeo na si watu waoga sana, lakini kundi hili ni la watu CCM na serikali inaamini wanaokubalika sana na watu (public, rejea mkutano wa Jangwani).
Kuna shida kubwa sana uchaguzi ujao, si ajabu Katiba inakimbizwa kwa kasi ya ajabu kuokoa matatizo mengi pamoja na uliyoyataja. Kubwa ni tatizo la Muungano. Maraisi wawili tayari wameongoza kwa mikupuo miwili kutoka Bara, hapa swala la Ukristo na Uislamu sio tatizo, tatizo ni la Ubara na U-visiwani ambalo tayari ni hoja kubwa sasa. Je Katiba itaridhia Mgombea Binafsi? Ili kuwapata watu kama Mh Augustine Ramadhani? Au srikali Tatu na kutoa madaraka zaidi kwa serikali ya Visiwani ili Raisi wa Muungano asiwe ishu kubwa?
Asante Mchambuzi kwa mjadala huu mzuri, hasa ukizingatia CCM ina na fasi kubwa bado ya kushinda, achilia mbali ushabiki wa kisiasa, kama hawataendelea na makosa yaliyowagharimu kwa kipindi hiki. Nashukuru hakunaga kura za Maoni au zipo ila viognozi wetu wasingezi-favour maana kwa kweli CCM ingekuwa chini sana kipindi kifupi kilichopita. Kwa sasa sio mbaya, kwa haraka haraka hasa jinsi serikali ilivyoshughulikia maswala nyetio ya kitaifa hivi karibuni, Imani imeongezeka bila shaka.