CCM na kifo cha mende

Babuu Rogger

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
1,529
1,114
Wadau juzi wakati CCM ikisheherekea miaka 35, Mr Lukuvi ambae anajiita mlezi wa CCM mkoa wa Mara alikuja Musoma na kuandaa mkutano maeneo ya nyakato, Ndugu zangu huyu jamaa alichoambulia ni aibu kwani aliahirisha mikutano miwili kutokana na kukosa watu na hata pale alipoweka kikao na wana ******* wenzake alipata wanamagamba kiduchu. haijulikani hata alipopotelea.
 
Mh!mwache apambane,si unajua yeye ni askari wa mwamvuli,so inabidi apambane mpaka dakika ya mwisho!
 
Asipokuwa makini atapasuka msamba,namchukia sana uyu mzee mana anajifanya anajua kilakitu
 
Malori yao yalikosa mafuta si unajua wanakabiliwa na ukata hasa baada ya ruzuku kupungua.
Inanipa raha sana kuona jamaa wanavyonynyaswa na nguvu ya uma
 
Chezeya kamanda Nyerere weye

Back
Top Bottom