CCM na gilba kwa vijana kupitia halaiki

Gizakuu

Member
Apr 29, 2012
38
13
Kwa siku nyingi sasa najuliza huu mchezo wanacheza CCM na serikali yake kwa watoto wanaocheza halaiki ni sumu kubwa kwa vijana wetu. KINA MAMA NA WAZAZI KATAENI SASA WATOTO WENU KUFANYWA NDONDOCHA KWA KUIMBISHWA HALAIKI KILA SHEREHE ZA KITAIFA BADALA YA VIJANA HAO KWENDA SHULE.!!
 
Baya zaidi baada ya kucheza halaiki hiyo hukalishwa juani pasipo kivuli, huku viongozi wanaosema wanajali watoto wakiwa majukwaani penye kivuli.
Juzi uwanja wa Taifa watoto walikula jua mpaka nikawaonea huruma, wakifeli walimu wanafukuzwa kumbe tatizo swali la kushiriki halaiki huwa halimo kwenye mitihani yao.
Wazazi badilika himiza marufuku watoto kwenda halaiki himiza wasome ili nao waje kumiliki raslimali za nchi yao.
 
Back
Top Bottom