CCM na Dangote wana biashara gani? Au ndiyo kusaka mtaji wa uchaguzi ujao?

Ndiyo kishatia timu nchini, MACCM wataenda kumpigia magoti ili awape billions za kuchakachua kura ya maoni na uchaguzi ujao huku wakimhakikishia kumpa eneo lolote alitakalo nchini kufanyia biashara.

Dangote hata Nigeria ni mshirika mkubwa wa Chama tawala
 
Hivi vyama vya siasa havina ukaguzi wa mahesabu na kueleza vyanzo vya mapato? naona vyama vyote vinasutana kuhusu mapato yao
 
Back
Top Bottom