CCM mnapalilia rushwa utaratibu wa wajumbe kupiga kura

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Chama Cha mapinduzi kinatarajia kutumia mfumo mpya wa wajumbe wa mkutano mkuu wa Jimbo/wilaya kupiga kura za maoni kupendekeza wagombea Ubunge .

Utaratibu huu ni hatari sana kwakuwa unachochea rushwa kwakuwa wapiga kura ni wachache hivyo wagombea wenye fedha nyingi watawanunua kwa gharama yeyote hivyo wabunge wanaomaliza muda wao watakuwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda tena kwakuwa wana mitaji mikubwa ya fedha .

Mfano Jimbo lina wajumbe 500 wa kupiga kura , hawa wanananunulika vizuri sana . Mfano mbunge mmoja amenukuliwa akisema kila mjumbe atampa mgawo wa laki mbili ukizidisha kwa wajumbe 500 ni sawa na bajeti ya Milioni 100 tu na wabunge watakuwa mafao ya Milioni 235 .

Vijana watakuwa wahanga wakubwa kushindwa kwenye uchaguzi hivyo wenye mapesa watashinda uchaguzi kirahisi sana .

Utaratibu wa majina matatu nao unawanufaisha wabunge waliopo madarakani kwa kiasi kikubwa sana kwakuwa wengi wamewashika wajumbe wa kamati za siasa za wilaya na Mkoa hivyo wana uhakika jina kurudi hivyo kuwafanya kuwarubuni wajumbe mapema .

Utaratibu wa wanachama wote kupiga kura ulikuwa unapunguza sana matumizi ya rushwa kwakuwa mgombea hawezi kuwahonga wananchi Jimbo zima hivyo kura zilipigwa kwa sifa stahiki kwa wagombea pamoja na sera zake .

Mwaka huu ndani ya CCM ni mashindano ya rushwa na ukwasi . Utaratibu unachochea matumizi ya rushwa .
 
KANYWE SODA KWA MANGI...AISEE
 
Vijana kazi zenu ni kuwatukana kina Mbowe na upinzani kwa jumla ubunge mtausikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kauli maarufu ya Dr Bashiru inasema "kuongoza kura za maoni siyo kigezo pekee cha ushindi".

Onyo langu kwa wagombea usitoe rushwa kama system haikutaki, utaozea jela.
 
Back
Top Bottom