uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiyejua kuwa Mgombea kupitia CDM alishinda ubunge sumbawanga Mjini,mkurugenzi alipata wakati mgumu kutangaza hilo hadi Mizengo alipo ingilia kati na kushinikiza itangazwe kuwa CCM ndo imeshinda.Jambo hilo liliiletea doa CCM na kupelekea Mizengo kuishi kama digidigi kila akija Sumbawanga...
Kitendo hicho kilipelekea hadi baraza la viongozi wa dini kumtaka Mizengo asionekane hata kanisani kwa alichokkifanya,alilazimika kuwaomba radhi ili yaishe sasa nahofia kwa Arumeru Mashariki,mkileta habari hizo nawahakikishia hamta toka Arumeru nadhani mnakumbuka Historia vizuri,serikali ya CCM tendeni haki katika uchaguzi huu ili kuilinda amani na kamwe msicheze na nguvu ya umma...