CCM mkirudia Arumeru mlichokifanya Sumbawanga mtasababisha Machafuko, Mizengo ole wako

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
uchaguzi mkuu uliopita,hakuna asiyejua kuwa Mgombea kupitia CDM alishinda ubunge sumbawanga Mjini,mkurugenzi alipata wakati mgumu kutangaza hilo hadi Mizengo alipo ingilia kati na kushinikiza itangazwe kuwa CCM ndo imeshinda.Jambo hilo liliiletea doa CCM na kupelekea Mizengo kuishi kama digidigi kila akija Sumbawanga...
Kitendo hicho kilipelekea hadi baraza la viongozi wa dini kumtaka Mizengo asionekane hata kanisani kwa alichokkifanya,alilazimika kuwaomba radhi ili yaishe sasa nahofia kwa Arumeru Mashariki,mkileta habari hizo nawahakikishia hamta toka Arumeru nadhani mnakumbuka Historia vizuri,serikali ya CCM tendeni haki katika uchaguzi huu ili kuilinda amani na kamwe msicheze na nguvu ya umma...
 
Ole Sendeka ni mtu hatari sana na ikiwezekana kuhakikisha anafuatiliwa nyenendozake kwa ukaribu sana.
 
Magamba wakumbuke kuwa Arumeru sio Rukwa au Shinyanga au Kigoma !!!!

Amani ikitoweka Arumeru, utalii Tanzania unakufa na taifa litakosa mapato, sijui Omba omba ataomba wapi tena na kote duniani hawamtaki tena.

Watalii wote wanaotua KIA kwenda mbuga za wanyama wanapita Arumeru Mashariki -Kuanzia kikatiti, maji ya chai, Usariver, tengeru.

Pia watalii wote wanaotua Nairobi JKIA wanaokwenda kupanda kilimanjaro wanapita tena Arumeru Mashariki.

Hoteli na Lodge nyingi za Kitalii zipo Arumeru Mashariki.

NEC, Polisi na Usalama wa taifa watch out!!!... Mkiwasaidia magamba kuchakachua kura, halafu wameru wachukie, oooohooo sijui muziki wake utakuwaje?????

natumaini mnakumbuka mwaka 1993 wakati wameru wanagombania Dayosisi..

Sitaki kusema mengi zaidi.
 
kuna damu itamwagika hapo arumeru'hawa magamba hawawezi kukubali kushindwa kwa sababu ya gharama kubwa wanazotumia'wangekuwa wanajua watashindwa wangepunguza gharama
 
Leo kuna mahali nimepita nikasikia jinsi watu wa meru walivyojiandaa kwa lolote kama sioi atalazimishwa kuwa mbunge...hizi tetesi zinatoka singisi,juakal na maji ya chai...sijui ni nn wamepanga kufanya?mm sijui
 
na igunga si walichakachua. 2015 sijui watachakachua wapi, Mungu tujalie tufike
 
Ole Sendeka ni mtu hatari sana na ikiwezekana kuhakikisha anafuatiliwa nyenendozake kwa ukaribu sana.

HATARI KIVIPI NDUGU? ELEZA VIZURI MAANA NILISIKIA ANA WAKE WA-NNE NA PIA NASIKIA ANACHUKUAGA MA DENTI:wink2::wink2::wink2::wink2:
 
Leo kuna mahali nimepita nikasikia jinsi watu wa meru walivyojiandaa kwa lolote kama sioi atalazimishwa kuwa mbunge...hizi tetesi zinatoka singisi,juakal na maji ya chai...sijui ni nn wamepanga kufanya?mm sijui

SINGISI..!!! aisee magamba watafyekwa kama migomba ya shamba la aloyce kimaro(mb ccm)
 
Mimi mbona sijui kama CDM walishinda?

kuna kutokujua kwa aina nyingi. Aina mbili zinazofahamika sana ni hazi... Kujua kwa sababu haujui...UMBUMBU... na kujua kwa kutokutaka kujua....KIBURI....sijui wewe haujui kwa sababu gani....

Unafikiri kuwa kwa nini Pinda hapendwi Mpanda mjini wakati huu kuliko wakati mwingine wowote? Unadhani safari za Pinda mpanda zimepungua kwa nini? unajua kuwa Pinda amewahi kuzomewa Mpanda mwaka huu? Au haya yote hauyajui...?? Pole sana. Sumbawanga CDM walishinda, hilo liko wazi kabisa. Matokeo yalicheleweshwa hadi Pinda akatoka kujijini kwake (KIBAONI) kwenda Sumbawanga KUCHAKACHUA, hilo sote tunaoishi maeneo ya Sumbawanga na Mpanda tunalifahamu.....
 
Sie yetu macho,mkitaka kuwajua vizuri hawa jamaa wa CCM muulizen Maali Seif au lyatonga yule wa 1995 mie kwenye mambo yaleee hawa jamaa itabidi tuibe ule mtaala wa mzee kingunge pale chuo cha siasa cha kivukon tujue una nn?,lakin upande wa pili uchakachuaj una faida zake,nyie mnafir bila ya kuchakachuliwa Dr.Slaa na mzaz mwenzie (yule alokuwa diwan wa CCM) wangekuwa hukuu?
 
Nashauri wana javi kila mmoja atoe ushauri kwa vuja jasho wa tatanzania,kufanya mazoezi ya nguvu,naku tafuta kwa namna yeyote,silaa zakivita,kama ak47 na smg,tumechoka na ubabe wa ccm.wana nchi tutoe maamuzi magumu,tuki onyesha nia wafazili wata tokea.
 
Kuna mtu kaniambia Lowasa yupo tayari damu imwagike lakini Sioi ashinde na si vinginevyo.

Na Katibu Mwenezi wa CCM, Mheshimiwa Nape Nnauye je, anasemaje? Je zoezi la uvuaji magamba limefikia wapi?



Haya sasa, kikundi kinachotumia nguvu ya pesa kimejitokeza hadharani!
Nape upo ? Ama unasubiri kwanza uchaguzi wa Arumeru uchakachuliwe?
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom