CCM Mbulu yamebaki majengo tu

mashila

Senior Member
Oct 2, 2012
158
23
Ni ukweli usiopingika kuwa hali ya magamba Mbulu ni mbaya tangu 2010 mpaka sasa, japo CCM wanajaribu kutumia kikundi kidogo cha sarakasi cha tumaini group kama njia mojawapo ya kuvutia watu katika mikutano yao, ila wambulu ni watu wenye misimamo hasa kwa kile wanachokiamini [CHADEMA] na ushahidi ni pale kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani Dongobesh ambapo CHADEMA ilitetea kata yake bila matatizo japo CCM waligawa pesa nyingi sana kwa wananchi .
 
Ni ukweli usiopingika kuwa hali ya magamba mbulu ni mbaya tangu 2010 mpaka sasa, japo ccm wanajaribu kutumia kikundi kidogo cha sarakasi cha tumaini group kama njia mojawapo ya kuvutia watu katika mikutano yao, ila wambulu ni watu wenyemisimamo hasa kwa kile wanachokiamini[ CHADEMA] na ushahidi ni pale kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani dongobesh ambapo chadema ilitetea kata yake bila matatizo japo Ccm waligawa pesa nyingi sana kwa wananchi . mungu ibariki chadema daima
Habari za mbulu,karibu JF
 
Acha kujidanganya CDM HAMNA CHENU MBULU 2015...Wairaqw wanajua hawana mbunge kwa sasa!CDM mmewaingza mkenge RAIA WA JIMBO LA MBULU.
 
Naona Magamba Mnaota ndoto za mchana,sio tu Mbulu kwa sasa nipo Sengerema napo yana hali mbaya,Watanzania wamechoka na chama cha majambazi,wezi,mafisadi,wauza unga,majangili,wauaji wa raia.
 
Nyie jibuni tu kwa kuingiza siku ila ukweli mnaujua na bosi wenu mwigulu anajua hali ya mbulu ilivyo.
 
Naona Magamba Mnaota ndoto za mchana,sio tu Mbulu kwa sasa nipo Sengerema napo yana hali mbaya,Watanzania wamechoka na chama cha majambazi,wezi,mafisadi,wauza unga,majangili,wauaji wa raia.

hapa geita pia hawana chao
 
KARNOON hivi Philip Marmo na miaka yake karibuni 30 ya ubunge alifanya kipi?jaani nyie watoto wa lumumba mnakazi,hau ndio Simu mlizopewa na January Makamba?sasa kwa taarifa yako CCM mbulu hawana chao
 
MSTAPHA AKONAY amefanya nini mkuu hapa Mbulu?
 
Acha kujidanganya CDM HAMNA CHENU MBULU 2015...Wairaqw wanajua hawana mbunge kwa sasa!CDM mmewaingza mkenge RAIA WA JIMBO LA MBULU.

Mbulu iko hivi ni kitovu cha upinzani kabla hata ya uhuru,mkumbuke Mzee(chief) Sarwat na Nyerere muulize marmo licha ya kumwaga fedha wakati wote ni upinzani wa aina gani aliokuwa akiupata fuatilia historia ya Kina Amri Dodo watakuambia Mbulu Ikoje
 
Ni ukweli usiopingika kuwa hali ya magamba Mbulu ni mbaya tangu 2010 mpaka sasa, japo CCM wanajaribu kutumia kikundi kidogo cha sarakasi cha tumaini group kama njia mojawapo ya kuvutia watu katika mikutano yao, ila wambulu ni watu wenye misimamo hasa kwa kile wanachokiamini [CHADEMA] na ushahidi ni pale kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani Dongobesh ambapo CHADEMA ilitetea kata yake bila matatizo japo CCM waligawa pesa nyingi sana kwa wananchi .

Vibaya hivyo wambulu.Wapeni CCM japo madiwani wachache kuwepo na upinzani ili maendeleo yaje.Kizuri kula na nduguyo.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa hali ya magamba Mbulu ni mbaya tangu 2010 mpaka sasa, japo CCM wanajaribu kutumia kikundi kidogo cha sarakasi cha tumaini group kama njia mojawapo ya kuvutia watu katika mikutano yao, ila wambulu ni watu wenye misimamo hasa kwa kile wanachokiamini [CHADEMA] na ushahidi ni pale kwenye uchaguzi mdogo wa udiwani Dongobesh ambapo CHADEMA ilitetea kata yake bila matatizo japo CCM waligawa pesa nyingi sana kwa wananchi .

Usiwe na wasiwasi tutamleta mchina aliyevaa kofia kule shinyanga aje ahamasishe na huku maana vyama vyetu ni marafiki
 
Back
Top Bottom