Ccm kuofia 2015,sasa wa vua ngozi,sio gamba tena.

profesa.n.

Member
Apr 23, 2012
84
58
ki ukweli CCM,ipo katika wakati mgumu,kitendo cha kubadilisha baraza la mawaziri,ni dhairi,chama kilichopo madarakani kimeoza,na sasa cule wakati wa ujinga chadema wa shughulikieni ipasavyo msichoke.
 
SI walete cabinet ya kukodi toka kwa wazungu?mbona mkapa alileta pale TANESCO na ndio walioleta luku,coz kuwaachia watu makini watawale hawataki,kuepuka aibu nashauri tukodishe balaza toka nje na Rais wa kukodi pia angalao kwa miaka miwili,uchaguzi ukikaribia wamalizie kufungasha vyao magamba,tunabadilisha mavazi wakati mvaaji ni yule yule!
 
Hata wakibadili BLM kama Pinda ataendelea kuwa PM Kazi bure.

Ndani ya CCM na mwenye kiti wao Kikwete hata ukimleta malaika hakuna kitu labda warudishe Azimio la Arusha lina weza kuwasaidia vinginevyo CCM mwaka 2015 watakuwa wapinzani.....
 
Back
Top Bottom