kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,482
ni icho tu!
Inawezekana aisee kwa jinsi mlivyo anza utekaji kweli polisi lazima wawape ushindi tena kwa kata zote 43 na wataongezea na mbili za ziada maana ccm bila polisi hakika uchaguzi unawashinda sanamatumbo joto yan cdm hamlambi hata kata moja
Sawa Mzee wa kutoa kipondo kwenye uchaguziThere is nothing pathetic about it.
Mwenyekiti wa chadema ni tapeli na fisadi, mtu asiyelipa kodi mabilioni na mabilioni ambayo yangeboresha huduma za kijamii ni tapeli. Ni.aibu kubwa sana chama kuendelea kumkumbatia tapeli huyu.Dr Shika ni tapeli aliyeharibu mnada halali wa kuuza mali ya fisadi Lugumi mkwepa kodi aliyeikosesha serikali mapato.
Tapeli huyu ambaye alipaswa kuwa Segerea, kupanda jukwaani kumnadi mgombea udiwani wa CCM ni aibu kubwa kwa chama tawala na inaonesha ni jinsi gani chama hicho kina ukaribu na mahusiano na mafisadi na matapeli wa nchi hii mpaka kufikia kuwatumia kuwanadi wagombea wake!
Shame on you CCM!
CCM bila watu kama hao nani atahudhuria mikutano yao ?View attachment 638760
Dr Shika ni tapeli aliyeharibu mnada halali wa kuuza mali ya fisadi Lugumi mkwepa kodi aliyeikosesha serikali mapato.