CCM KUMDHALILISHA DC ni sawa?

Sasa hivi nimempigia simu kiongozi wa CDM katika kampeni huko Igunga na kumpa wazo hilo, na amesema ataliwakilisha kwa wenzake ili waone kama itafaa nao kutumia picha za wajawazito wanaodhalilishwa katika nchi yao yenye utajiri mkubwa.
Wazo zuri. Pia kama kuna uwezekano picha za video zitasaidia saidi.

Kukiwa na uwezo wa kutengeneza documentary yenye kuonyesha ukweli (comparing Anasa za CCM na matatizo ya wananchi hasa akina mama) halafu wasambaziwe wananchi. Wakati wa campaign wawaonyeshe wananchi, at least 20min Documentary ni njia nzuri sana na vile vijijini vitu kama Video or Cinema ni buridani itakuwa ni njia nzuri kuwaonyesha ukweli. Mana I think wakati mwingine wananchi ya vijijini hawapati picha wanapoelezwa CCM wanafuja mali. Sina uhakika mtu wa kijijini, anayepata chini ya $1 kwa siku anaweza kupata idea ukimwambia mtu kala Tzs 1billion..... mana hakuna mtu aliyewahi kuhesabu hata hiyo Millioni, so kwa wao picha zinaweza kuwafungua macho wakaona ukweli.
Unajua CDM wanaweza hata wasiongee sana, waki-display hizo video then wawaachie wananchi waamue wanamtaka nani!
 
Viomgozi wa cdm watuletee picha za wabunge wa ccm wanaolala bi\ungeni na wakistuliwa huunga hoja kwa 100% halafu watuletee picha za akina mama wajawazito wanao nyanyaswa na ccm, pia tuleteeni picha za zile shule y\uyoga za ccm ambazo hazina waalumu wala madarasa,......bila hivyo kampeni haziko sawa



nitaenbdelea kujiuliza mpaka kifo....."hivi wanaoipoenda ccm na kikwete, ni watanzania"?
 
CCM wamejiuliza ni wananchi wangapi wameonewa au kudhulumiwa mifugo au mashamba yao na huyo DC? Kwa hiyo wakiona picha za mbaya wao akivurutwa na vijana wa CDM si kuwa watamwonea huruma watafurahi kuwa na yeye leo kapata saizi yake na kuzidi kuiona CDM kama mkombozi mpya aliyekuja, inahitaji akili kidogo kuyajua haya.
 
Jamani siku ya tukio lile magamba walinunua magazeti yote yaliyikuwa yana habari na picha ile ktk eneo lote la igunga na kuwafanya wakazi wakose habari kwa siku ile, Sasa kinachowafanya leo ndo waoneshe hizo picha ni k2 gani?
 
Picha za wabunge wa ccm wakiwa wamelala bungeni zingetosha kuwaonya wanaigunga kuwa wakichagua mbunge wa ccm na yeye ataenda kulala bungeni. Na hizi zingesambazwa na washabiki wa Chadema tu bila kuwahusisha viongozi wakuu.
 
kama kweli CDM wamvua nguo mama huyo na CCM wanaonesha picha za utupu wa mama huyo basi wote wanamdhalilisha na wanstahili kufikishwa kwa hakim Mkazi Tabora kama wabunge wa CDM
 
Kama CCM wanaona picha zake ni dili kwanini DC asipige picha za uchi kabisa ili wapate huruma nyingi?
 
Na hiyo bakwata na basuta watasemaje kuhusu picha za dc kutumiwa kama mtaji wa kuombea kula ccm?
 
taratibu kidogo...twende tartibu....

kwamba umesoma Mwananchi ndo ukaja na hizi hoja, au hii ni habari kwenye gazeti la Mwananchi?

anyhow, ulichokiandika kina mashiko kwa sababu kama sasa tunakwenda kwa ushahidi wa picha, na sisi Chadema tuna picha za mgombea wa CCM akiwa amevaa kufuli la mwanamke aliyefumaniwa naye, tuzioneshe kwa wananchi?

Ni huyu hapa nini??

mail
 
Na hiyo bakwata na basuta wanalionaje la picha za dc kutumika kama kigezo cha kuombea kura ccm?je huo si uzalilishaji?
 
taratibu kidogo...twende tartibu....

Kwamba umesoma mwananchi ndo ukaja na hizi hoja, au hii ni habari kwenye gazeti la mwananchi?

Anyhow, ulichokiandika kina mashiko kwa sababu kama sasa tunakwenda kwa ushahidi wa picha, na sisi chadema tuna picha za mgombea wa ccm akiwa amevaa kufuli la mwanamke aliyefumaniwa naye, tuzioneshe kwa wananchi?

,ngekuwanazo mngekuwa mmeshazionesha
 
mkuu, ngoja nikusaidie hapa!!!
picha zinayoniuma zaidi ni hizi hapa, lakini kwa CCM picha inayowasikitisha ni picha ya DC aliyenona kama kitimoto!!!

25062010_002.jpg


hawa ni watanzania wenzetu wanakunywa na kupikia maji haya!!

IMG_0447.JPG


kahama+109.JPG
 
Kama mkakati wa kisiasa, CDM wakionyesha picha za mwana CCM akiwa kafumaniwa ni nzuri na itakuwa na impact kuliko wanayofanya CCM kuonyesha picha za Kada wao, tema DC, akiwa anaburutwa kama muhalifu. Technically CCM wanajionesha hawawezi kutawala mana kama Chama pinzani wana uwezo wa kumkamata DC kama mhalifu basi CDM ndio wana jeuri ya kuchukuwa madaraka.

Kwa mimi nadhani, CDM wangeweza kusambaza picha kama hizo za viongozi wa CCM wakiwanyanyasa wananchi, kwa jinsi wanavyolala bungeni, wanavyofuja mali za wananchi etc. CCM watachanganyikiwa mana wananchi watazidi kuamka!

Natamani wazidi kuamka maana hali inazidi kua ngumu
 
Kwenye red: Nimeipenda hiyo na ndiyo maamuzi magumu yanayotakiwa -- yaani onyesho la uthubutu wa kufanya yale CCM huwa inashindwa kuyafanya hadi nchi hii inaenda hovyo hovyo.

Wameshindwa kuwatimua waliowaita magamba ila cdm wameweza kuwatimua madiwani waliokubali muafaka batili
 
chadema kwa kweli ni chama cha majambazi na wahuni, kamwe hawawezi kuchukua jimbo la igunga na wala nchi hii

kusema majambazi umekosea hilo jina linawafaa ccm kwani kila kashfa yoyote ya wizi na uzembe wa kila aina inawahusu
 
Yessss....Chadamea nao wasambaze picha hizo za wanawake wajawazito wanaolala chini kwenye mawodi. Hapo CCM itakuwa imekwisha kabisa jeuri yake na itaangukia pua. Wezi na majambazi wakubwa, na ndiyo maana uchaguzi wa 2010 waliporomoka vibaya, wakaokoloewa na NEC.

Sio waliporomoka tu walishindwa japo walikuja na udini. Wizi ukawakomboa
 
Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi mwaka 2010 kuna DC alilambwa mtama na kukwidwa na wanachama wa CCM wale waliomtenda DC huyo walichukuliwa hatua gani

ccm hapo wanatumia nguvu na garama yoyote ili kulinda maovu kama hayo
 
Matendo madogo madogo yanayoigharimu CHADEMA, najua ni ushabiki tu, ila ndani yao nadhani wanajuta kwa ujinga huu, gharama yake ni kubwa mno. Viongozi wa CDM wanashaurika, juzi Mheshimiwi Lissu alikaa na wazee kutafuta jinsi kusafisha sura ya chama mbele za wananchi hasa Igunga...ninyi wapuuzi endeleeni kujifurahisha na ujinga wenu.

upuuzi upumbavu usioelimika ndo ulio kujaa wewe kukumbatia wezi wa mchana
 
Back
Top Bottom