Elections 2010 CCM kukiri Kashfa ya EPA: Kutaimaliza nguvu CHADEMA na kupelekea kampeni za Utulivu

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,362
1,131
Nguvu au Udhaifu wa vyama viwili,CCM na CHADEMA vinavyochuana kuingia ikulu iko kwenye kashfa nzima ya EPA na yote yaliyojiri kwa CCM kuingia madarakani kwa kipindi kilichopita.

Ni jinsi kila chama kati ya hivi kitakavyocheza karata yake kuhusiana na Kashfa hii ndiko kutaamua mshindi wa uchaguzi wa sasa.

CCM .... wafanye nini ili kutumia kashfa hii kama nguvu yake ya ushindi? Au Udhaifu wake?

1........
2........
3........KUKIRI HADHARANI KUTAIFANYA CHADEMA ISIWE NA HOJA TENA!!!
4........ KUTUMIA VYOBO VYA DOLA KUNYAMAZISHA CHADEMA!!
5........ KUTOKUJIBIZANA KWANI IKO MAHAKAMANI...NK

CHADEMA wafanye nini ili kutumia kashfa hii kama nguvu yake ya ushindi? Au Udhaifu wake?

1. .....
2.......
3....... ISITAJE MAJINA YA WASHUKIWA MOJA KWA MOJA
4....... WASIITUMIE KUJENGEA HOJA KWANI IKO MAHAKAMANI
5....... WASIITUMIE KWANI ITAFANYA KAMPENI KUWA ZA JAZBA .....NK

NINI KIFANYIKE KWA KILA CHAMA?
 
hawawezi kukiri nakwambia. ikitokea hivyo basi kikwete atastahili aenguliwe kugombea urasi ili akashitakiwe mahakamani kitu ambacho hakiwezekani.
 
Kwanza unazungumzia kushidna uchaguzi au kutangazwa kuwa mshindi wa uchguzi huu?
 
Mkuu Azimio Jipya, Kitu ambacho Kukiri hadharani kashfa ya EPA ni kitu ambacho CCM hawatataka kufanya wala kukisikia kabisa kwa sasa. Hata hivyo ni tooo late kwa sasa, walitakiwa kukili wakati ule wa mabomu ya mwembe yanga. Hata hivyo wasingeweza maana ndicho kilichowangiza Ikulu kwa njia za rafu.

Wakitumia vyombo vya dola NGUVU ya umma itafanya kazi. Wameonjeshwa kidogo pale Jangwani kupitia TBC

Kunyamaza kinya hawawezi maana mfa maji haishi kutapatapa
 
Good thing ni kwamba Mungu anajua walichokifanya kwa kificho ila atawaanika hadharani, na they will pay right here, maana machozi ya wakinamama wanaojifungua wakilala chini, na watoto wanaoshindia mlo mmoja hayataenda bure
 
Hawa hawezi kukiri wale watuhumiwa wa EPA na Liyumba ni BANGUSILO TU (mbuzi wa kafara), na baada ya uchaguzi lazima yatafumuka mengine, hakuna haja ya kudai mshahara wangolewe kwanza, katiba mpya, tume huru, mgombea binafsi,madai ya nyongeza ya mshahara baadaye!
 
Wakiri walambe jela? acha kabisa, mijitu ya kijani/njano wala haitakuwa tayari kwa hilo kwani itakuwa mwisho wao. Waliharibu ati!
 
Nguvu au Udhaifu wa vyama viwili,CCM na CHADEMA vinavyochuana kuingia ikulu iko kwenye kashfa nzima ya EPA na yote yaliyojiri kwa CCM kuingia madarakani kwa kipindi kilichopita.

Ni jinsi kila chama kati ya hivi kitakavyocheza karata yake kuhusiana na Kashfa hii ndiko kutaamua mshindi wa uchaguzi wa sasa.

CCM .... wafanye nini ili kutumia kashfa hii kama nguvu yake ya ushindi? Au Udhaifu wake?

1........
2........
3........KUKIRI HADHARANI KUTAIFANYA CHADEMA ISIWE NA HOJA TENA!!!
4........ KUTUMIA VYOBO VYA DOLA KUNYAMAZISHA CHADEMA!!
5........ KUTOKUJIBIZANA KWANI IKO MAHAKAMANI...NK

CHADEMA wafanye nini ili kutumia kashfa hii kama nguvu yake ya ushindi? Au Udhaifu wake?

1. .....
2.......
3....... ISITAJE MAJINA YA WASHUKIWA MOJA KWA MOJA
4....... WASIITUMIE KUJENGEA HOJA KWANI IKO MAHAKAMANI
5....... WASIITUMIE KWANI ITAFANYA KAMPENI KUWA ZA JAZBA .....NK

NINI KIFANYIKE KWA KILA CHAMA?

You are not serious, Aren't you????
 
hawawezi kukiri nakwambia. ikitokea hivyo basi kikwete atastahili aenguliwe kugombea urasi ili akashitakiwe mahakamani kitu ambacho hakiwezekani.

Unaona unachosema??? Ni kwamba kampeni ziendelee kwa pressure na kutovumiliana kabisa... Jibu liko wazi na linakimbiwa ...likini litakimbiwa hadi wapi na kwa gharama ya nani?

kusema hawaezi kukiri...taht means CCM iko sahihi kabisa kujaribu kwa kila njia kuzuia kampeni yeyote inayolenga hapo!!

Na ndio maana Marando alipogusa kidonda pale kwenye uzindizu, Hapakukalika na matanagazo ...!

Unaweza kuona basi pressure nzima ya kampeni iko hapo...!! Kwa hiyo kama tunasema Hawawezi kukiri tunamaana kukubaliana na kampeni za kuvutana na kutokuvumiliana kabisa...na kutokuwa na ustaarabu ....na kupunguza amani ya nchi na chanzo kiko wazi..!

.... Ustaarabu ni kukubali,kujirekebisha na kuendeleza kampeni za amani na utulivu ....whatever it takes...!! kwa ajili ya amani ya taifa kwanza...Bila hivyo CCM itakuwa inaipeleka wapi nchi???
 
Wakiri walambe jela? acha kabisa, mijitu ya kijani/njano wala haitakuwa tayari kwa hilo kwani itakuwa mwisho wao. Waliharibu ati!

Lakini huoni kuwa nguvu yote na umaarufu wote wa CHADEMA uko kwenye kitu hicho kidogo tu!!! Nini zaidi???? hakuna!!

Hoja ni kwanini CCM wasione hilo na kulifanyia kazi ... na ku Kuiilainisha CHADEMA na kuifanya ikose hoja ya kufanyia kampeni?

Bila EPA nk ..CHADEMA sio CHADEMA ...kinakuwa chama cha kawaida sana kisicho na hoja mpya ..sana... kwa sasa!!... AU?

CCM wangekuwa kwenye nafasi nzuri na kufanya kampeni za ziwe za ustaarabu nk kama wangelifanyia kazi hilo... Vinginevyo itakuwaje sasa?
 
wakili mara ngapi wkt walirudisha bila kumtaja muhusika...!!!

Mwanahalisi jamatano sept 1-7, 2010 ...haloko mtandaoni::

kichwa cha habari...KIWEWE KITUPU CCM
...Ni baada ya Marando kutaja vinara wa EPA
... Ataja kikwete, Mkapa, Rostam na Lowassa
 
Hawa hawezi kukiri wale watuhumiwa wa EPA na Liyumba ni BANGUSILO TU (mbuzi wa kafara), na baada ya uchaguzi lazima yatafumuka mengine, hakuna haja ya kudai mshahara wangolewe kwanza, katiba mpya, tume huru, mgombea binafsi,madai ya nyongeza ya mshahara baadaye!

sometimes I wonder if Liyumba atatoka jela akiwa hai au hatakufa muda mfupi baada ya kuachiwa
 
Back
Top Bottom