Kwamex
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 378
- 96
Nimeckia serikali (CCM) baada ya kuwachangisha wana Mbeya mchango wa uzinduzi mbio za Mwenge zaidi ya milion 100, sasa imehamishia uzinduzi huo Butiama kwa kigezo cha kumuenzi Nyerere na miaka 50 ya uhuru....Nionavyo mimi ni serikali ya CCM kuogopa hali ya kisiasa iliyopo Mbeya sahvi hasa kuzinduka kwa raia wa Mbeya ambao sahvi huwezi ukawaambia waende kushangaa Mwenge waache shughuli zao za kuwaletea maendeleo.