CCM: Kinana hataongea na wandishi wa habari, yupo nje ya Nchi

Kwahiyo Polepole ndio amekuwa muongo kwa kiasi hiki au? Maana kama mmutano uliandaliwa namna hii halafu yeye kusema anashangaa ni unaa mmubwa huo.
Kwani aliyekuwa anapinga cheo cha ukuu wa wilaya ni nani na nani akakubali kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya?

Ogopa sana mtu ambaye ukimtazama usoni sura yake huwezi hata kumkadiria umri wake.

Muangalie huyo Polepole kisha mtazame Stive Mengele anayejiita Nyerere halafu niambie ni wa rika gani?
 
Tumekuwa tunapokea simu nyingi kutoka kwa waandishi wa habari, na pia kuna wengine wamefika mpaka ofisini, kuuliza au kuja kuhudhuria kikao baina yao na Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Abdulrahman Kinana, asubuhi hii.

Napenda kuwafahamisha kwamba hata sisi wenyewe tumesoma tu tangazo hilo kwenye moja kati ya post za humu, hivyo naomba msihangaike nalo kwa sababu ni uzushi.

Katibu Mkuu mwenyewe yupo safarini nje ya nchi karibu wiki nzima hii.

Nawasilisha kwenu kwa taarifa sahihi.

Charles Charles
Idara ya Itikadi na Uenezi

Tarehe 24 Machi, 2017
252bb3d71926c038f53f9b4c8b76ece3.jpg
382edfac4a720d9b6ea796d0412c3af3.jpg
Au yuko Hong Kong kuyatilia Shehena zake
 
Mbona watu wawili toka chanzo kimoja wanatofautiana information??Wanatuficha nini??
 
Jf imeingiliwa na SHILAWADU. Imekuwa jalala na sehemu ya hovyo mno. Labda tuwaulize Jf, hii post ilivyoletwa hapa mlijidhihirisha vipi juu ya hili la Kinana ama mlichukua hatua gani kujua kama kweli kilichopositiwa kilikuwa ni kweli? Mmepoteza credibility na mnastahili kufungiwa hata nyie. Haiwezekani mkajiita moderators halafu mnageuka kuwa chaos katika jamii. You must be held accountable
 
Wewe endelea kujitia madole harufu nusa kama utasikia harufu ya pilau.
 
Wataalamu wetu fuatilieni tujue kama ni kweli alisafiri na hajarudi. Najua kufika jioni tutakuwa na majibu kama alitumia uwanja wetu wa ndege
 
Tuna kila sababu sasa kutilia shaka ukweli wa threads zinazochapishwa mitandaoni, kwani wafitini na wachonganishi wamedhamiria kutibua Amani na utulivu wa nchi, badala ya kukosa agenda kuntu wakati huu!....Kila taarifa inayotolewa kabla ya kuiamini tuipime kwa kuangalia jina na cheo cha mtoa habari hiyo, na uhakika na uhalali wa chanzo cha maelezo yake. Vinginevyo tutaingizwa mkenge na kusababisha taharuki isiyo kuwa na sababu.
Taharuki gani wewe [HASHTAG]#Bashite[/HASHTAG]? Huoni hilo bandiko la kigazeti chenu cha kufungia maandazi [HASHTAG]#HabariLeo[/HASHTAG]?
 
Kazuiwa huyo, kweli Sizonje kiboko ila nafurahia sana anavyowasomesha namba CCM

Sio huyo bali ni ile kitu inaitwa 'system' a.k.a "kitengo". Huyo yeye anapewa tu taarifa au anawekewa options mezani. 'Kitengo' ni kama antibodies kwenye mwili wa binadamu.
 
Back
Top Bottom