Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!
Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!
Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!
Nchi iliyogoma kuendelea OYEEEEEEEEE CCM ENDELEENI KUTUDUMAZAA OYEEEEE TENA KWA CCM!Ccm oyeeeee!!!!!!!!!!
Dubai ya Tanzania!
Chama Tawala CCM, kimetwaa Halmashauri ya wilaya ya Kigoma. CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!
Wewe na nani vile?Uchaguzi uliofanyika ni Kigoma vijijini.
Tumezidiwa kura 2 kama idadi ya madiwani wetu walivyo.
Spencer,
Halmashauri hiyo inaundwa na majimbo ya Kigoma kusini na kaskazini. Juzi juzi Zitto kaandika hapa kuwa halmashauri hiyo itaongozwa kwa ushirikiano wa madiwani wa NCCR na CHADEMA ambao kwa pamoja wanazidi idadi ya wale wa CCM. Kuna usaliti umefanyika mpaka CCM wakashinda?
Dubai ya Tanzania!
Kwani wewe ni kupe gani?Wewe na nani vile?