CCM ina wanachama wengi, kwanini suala la kofia mbilimbili limerudi?

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
CCM ya AWAMU ya 5 iliamini kuwa CHAMA kina Wanachama wengi na kila Mwanachama ana HAKI ya kuchangia chochote ktk CHAMA ikiwa ni pamoja na kuwa KIONGOZI.

MWENYEKITI wa CCM wa Awamu ya 5 Aliamua kuwa Hakutakuwa na KOFIA MBILI kwa KIONGOZI lengo likiwa Wanachama wengine WASIO na VYEO Wapate UONGOZI ndani ya CHAMA.

Cha AJABU CCM ya AWAMU ya 6 Imerudisha KOFIA 2 kwa MTU MMOJA huo ni ULAFI wa MADARAKA

Kuna Mwanachama ni MBUNGE anatamani awe MWENYEKITI wa CCM MKOA

MTU ni DC anatamanu awe Mjumbe wa NEC TAIFA
HEBU Ridhikeni na VYEO mlivyonavyo ili hivyo VYEO Vingine WAPEWE wasiokuwa na VYEO

Hayati MAGUFULI aliwahi kuwaambia WAKUU wa MIKOA ukiutamani UBUNGE JIUZULU UKUU wa MKOA na UKISHINDWA UBUNGE hata UKUU wa MKOA UMEUPOTEZA

Ushahidi tuliuona kwa PAULO MAKONDA kijana alikuwa na UCHU wa kuwa MBUNGE wa KIGAMBONI akajiuzulu UKUU wa MKOA na WAJUMBE wakampigia KURA CHACHE na Kuchinjiwa BAHARINI Mpaka leo Yupo MITAANI

Ukweli kwa hilo NAMPONGEZA SANA HAYATI MAGUFULI kwani NCHI hii kuna WATU WALAFI WA VYEO Hawataki na WENGINE WAPATE Utadhani WALIUMBWA wawe na VYEO au WATAENDA navyo MBINGUNI

CCM RUDISHENI KOFIA MMOJA kwa Mwanachama mmoja.
 
Back
Top Bottom