Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 1,166
- 2,008
Mazuzu hata yafanywaje hayaongei yanaishia kunong'ona hayawezi kupaza sautiWatanzania hawajielewi, hivyo wanastahili kupuuzwa. Na siyo mara ya kwanza watanzania kupuuzwa. Na wakipuuzwa huwa wanakaa kimya kama mazuzu:-
1. Magufuli a.k.a jiwe alikataza mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa. Mazuzu hayakuchukua hatua.
2. Jiwe aliminya haki za wafanyakazi kwa kuwanyima annual increment ambayo ipo kisheria (ni statutory). Na mishahara hakuongeza kabisa. Akawa anajibu kwa nyodo kwamba ni bora ajenge reli. Mazuzu yakaendelea na kazi bila kugoma.
3. Huyu bibi ameanzisha tozo wakati watanzania (mazuzu) yanalipa kodi tena isiyohimilika. Matokeo yake biashara zinakufa, kila siku assets za watu zinapigwa mnada. Lkn mazuzu hata hayaoni shida.
Kwahiyo ndugu mleta mada, hili la miswada ni dogo sana kwa mazuzu haya yanayopatikana kwenye ardhi ya Tanganyika (Danganyika).