PJ
JF-Expert Member
- Oct 10, 2007
- 297
- 32
Mimi napata shida sana kuwaelewa CCM ni kwa jinsi gani wasivyo na UTU, HEKIMA WALA BUSARA.
Wanatumia zaidi ya shilingi bilion 20 kuandaa mabango, kanga, tisheti, kofia na vipeperushi na kusambaza nchi nzima.
Hii inaonyesha ni jinsi gani hakuna mtu mwenye busara wala hekima ndani ya ccm. Wangeweza kutumia hela hizo kujenga zahanati 400 ukizingatia kuwa wastani zahanati moja inagharimu shillingi milion 50.
Kama wangejenga hizo zahanati 400 vijijini na kufunza wahudumu wa afya wa kuhudumu huko, badala ya mwenyekiti wao kuwaahidi bajaji ili kuwapeleka kwenye zahanati iliyopo Km 10 - 20 wanachi wangeacha kuwapa kura?
ccm ya mafisadi imefilisika haina mpango wa kuwajali wala kuwaendeleza watu wake bali matumbo yao wenyewe.
Njaa wala maradhi haiondolewi na mabango ya "chagua CCM, cahgua Kikwete". ni matumizi mabaya ya rasilimali zetu.
Amkeni watanzania kwa maana saa inayokubalika kwa ukombozi wetu ni sasa.
Inyimeni kura ccm ili muanze kufaidi zasilimali zetu