CCM Hiki cheo vipi mmekifuta au Bado kipo?

Tony Almeda

JF-Expert Member
Sep 18, 2011
397
122
Ni kwa muda mrefu sasa sijakisikia hiki cheo, wala sijamsikia mheshimiwa Tambwe Hizza aliekuwa na hiki cheo cha mkurugenzi wa PROPAGANDA wa chama cha mapinduzi.
Je CCM mmejishtukia na kikifuta hiki cheo cha uongo uliokubuhu? na Tambwe Hizza yuko wapi?
 
umesahau kazi ya NAPE? HIZA ALIONDOLEWA NA KWA SASA YUPO NNAAUYE NAPE
 
Tunataka kujua kama ameshamlala mama yake.............aliapa mbele ya watu kuwa akirudi CCM basi amlale mama yake.

Tayari alishamaliziana na mama yake na ndiyo akapata laana mpaka leo hii hajulikani alipo. Laana mbaya sana.
 
Labda yupo kwenye ile redio inayochukua wasanii kutangaza kawa mtangazaji, ile redio inayotangazwa na yule shoga mwenye moto.
 
Labda yupo kwenye ile redio inayochukua wasanii kutangaza kawa mtangazaji, ile redio inayotangazwa na yule shoga mwenye moto.

Mh kanta, hembu fafanua bhana radio gani/nani huyo mwenye moto maana watoto wetu huwa wanawasifia na kujifananisha na watangazaji- itasaidia kumkanya mtoto!!!
 
Back
Top Bottom