Elections 2010 Ccm hawaoni mwisho wao.........!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Mkikumbuka Iraq Ilipovamiwa, waziri wa habari wa Iraq alikana kabisa akisema kwamba
There are no American infidels in Baghdad. Never!"
"My feelings - as usual - we will slaughter them all"
"Our initial assessment is that they will all die"
"God will roast their stomachs in hell at the hands of Iraqis."

Wakina JKwa ulikweli, Malaria Sugu nk. ndo wale wale, wanatangaza matokeo CCM kushinda wao wanatangaza, 80-85% victory, jamani akili hiko wapi, hawa wamelewa na madaraka na kuchanganyikiwa. Hawaamini kabisa, lakini habari ndo hiyo, CCM wanahaha
 
Back
Top Bottom