CCM hakuna kama Lowassa

Utake usitake Kwa sasa CCM hakuna mtu kama Lowasa, mimi sina maslahi ya moja kwa moja na siasa wala Lowassa lakini najua kitu kizuri kinafananaje. Watanzania tusije tukadanganyika kwamba Lowasa ni fisadi wa Richmond, Richmond ni mfumo mzima wa CCM na Serikali yake, ndo maana hakuna aliyefungwa kwenye hili. Ili CCM iweze kukohoa na kutema kohozi 2015 lazima wawafikirie wafuatao kwenye kinyang'anyilo:

1.Lowassa: Ni mchapakazi
2. Chiligati (Capteni): Ni mchapakazi na hana kashfa yoyote kubwa
3. Magufuli: Ni mchapakazi
4. -------- endeleeni kutaja ili kuwasaidia CCM vinginevyo watashindwa kutema kohozi 2015

wakati wa kukata roho huwa marehemu mtarajiwa anakuwa katika wakat mgumu sana. Ndo kinachotokea kwa ccm sasa! RIP magamba!
 
Back
Top Bottom