Bill Cosby
JF-Expert Member
- Sep 2, 2013
- 2,588
- 1,550
gesi haitoki hata kwa bomba la pen, kumbe ulitaka kuwaumiza wenzako tu, mnafiki mkubwa wewe. kumbe ulimaanisha gesi ya tumboni mwako
shame on you
Kashfa ni jadi ya wahuni na wasio jitambua. Na hoja ni kipimo cha busara.
Sasa mi nakushauri uhame kwenye hio kambi ya wahuni uje huku kwa wenye kutumia busara kujenga hoja.
Na kulifanya jukwaa hili kuwa na nidhamu ya kusomeka.
Basi kwa sababu mmepata privilege ya kutokuombwa IDs na MODS ndio mnakuwa na maneno mabovu siku zote??
Ama unatuangusha watanzania wengi wewe kijana.! Ama!!