CCM, Chadema na wanasiasa kwa ujumla nani baina yao hanywi damu yetu watanzania??

Kumbe nadiscuss na zuzu,me nilidhan ni mtu mwenye hoja za kujisimamia mwenyewe kumbe empty?

Ok,kwaheri

Pole sn! Wewe unakuja Speed unaanza kuukata mti Wa Mpingo kwa kiwembe ukizani utauangusha!

Pole yako! Eti ukweli! Ukweli unaujua wewe?!

Kwaheri ya kuonana!
 
Pole sn! Wewe unakuja Speed unaanza kuukata mti Wa Mpingo kwa kiwembe ukizani utauangusha!

Pole yako! Eti ukweli! Ukweli unaujua wewe?!

Kwaheri ya kuonana!

Mmeshindwa kudiscuss hoja za mleta hoja,mmekimbilia kwenye viroja,

Watu wa ajabu sana nyinyi.
 
Wanajamii forum ninaomba mniambie kilipo kiwanda cha kutengeneza na kuuza mifuko ya viroba vya kuweka unga,sukari na mchele,tusaidiane jamani.
 
Back
Top Bottom