CCM & Chadema: Mfano Mwingine Huu Hapa!

nimechelewa au kushindwa kuelewa huu mfano wa CCM & CHADEMA..nashindwa ku connect dots...nachoweza kusema ilikuwa na nia ya kutuambia tu kuwa leo ulikuwa wapi na uliongea na YUNA sijui kitu gani..otherwise i dont see it meaningful to be an example to CCM and CHADEMA...

Mike ni chadema Malecela ni CCM na wote ni JF na wote walialikwa.

Umeelewa sasa?
 
- vyama vya siasa vijikite sana kwenye kuwafikia vijana kama hawa kwenye picha, badala ya kulala macho na kutafuta kura tu, vinatumia Bllions kwenye chaguzi ndogo kwa nini wasitumie angalau millioni 500 tu kwa ajili ya vijana ambao ni great investment ya kesho kwa vyama vyao na Taifa?

William.
Huyo January Makamba alikwenda hapo chuoni kama kiongozi wa chama au serikali? Maake hapa nashindwa kuunganisha hizo dots kuhusu ziara ya Makamba Jr. na vyma vya siasa.

Kaka William, itabidi ubadili strategy huko Bongo kama una mpango wa kuomba kupigiwa kura jimboni kwako. Vinginevyo watu watakuwa wanaishia kuona pics kwenye blogs ukiwa na MAFAME tu. Wewe picha zako nyingi unakuta na Mafame tu hata kwenye blog yako. Is that a good one......anyway, wenye utaalamu kwenye political science kama wewe wanaweza kuelewa zaidi.
 
Huyo January Makamba alikwenda hapo chuoni kama kiongozi wa chama au serikali? Maake hapa nashindwa kuunganisha hizo dots kuhusu ziara ya Makamba Jr. na vyma vya siasa.

Kaka William,
itabidi ubadili strategy huko Bongokama una mpango wa kuomba kupigiwa kura jimboni kwako. Vinginevyo watu watakuwa wanaishia kuona pics kwenye blogs ukiwa na MAFAME tu. Wewe picha zako nyingi unakuta na Mafame tu hata kwenye blog yako. Is that a good one......anyway, wenye utaalamu kwenye political science kama wewe wanaweza kuelewa zaidi.

- Kwa maneno yako mwenyewe ni kwamba huna FACTS, lakini umeamua kurusha hukumu tu unasema hawa Vijana niliopiga nao picha jana ni mafame?

- Yaani mnasema huku bongo picha tu zinaweza kukufanya ukachaguliwa ubunge, na hasa ukipiga na wasio mafame? ha1 ha! ha! ha! JF sometimes bana!!

William.
 
Le Mutuzzz Le Baharia kwa nini hii nguvu kuubwa uanyoitumia hapa usielekeze Mtera,Kule wengi hawana access na Kompyuta achilia Umeme. INASKITISHA!
 
Le Mutuzzz Le Baharia kwa nini hii nguvu kuubwa uanyoitumia hapa usielekeze Mtera,Kule wengi hawana access na Kompyuta achilia Umeme. INASKITISHA!

Watanzania leo mnaongelea kompyuta mpaka vijijini halafu mnasema hakuna maisha bora?
 
Willy umejiunga kwaya? Na bado, utaendesha mpaka bodaboda! Hapo kuna mfano gani? Wewe unaonekana una neema zaidi yao.
 
- Kwa maneno yako mwenyewe ni kwamba huna FACTS, lakini umeamua kurusha hukumu tu unasema hawa Vijana niliopiga nao picha jana ni mafame?

- Yaani mnasema huku bongo picha tu zinaweza kukufanya ukachaguliwa ubunge, na hasa ukipiga na wasio mafame? ha1 ha! ha! ha! JF sometimes bana!!

William.

Ndugu William Indume Yene ametumia neno "mafame" na inaonekana umemwelewa ana maana gani. Unaweza kunifafanulia hili neno la "mafame" lina maana gani? Au ndio kiswahili cha ndugu zetu waishio nje ya nchi.
 
Jamani ebu tuipe jf heshima yake, mambo ya facebook tupeleke fb na tukitaka kuja jf twende jukwaa husika.
Upedeshee peleka Msondo na Ngwasuma takuja kuombwa behind.
 
- Ha! ha! ha! jina langu sio mbaba mbona lipo pale juu kwenye avatar, ila umenivunja mbaavu! ha! ha! ha! ha!, mbona wewe mimi huwa ninakuelewa sana! ha! ha! ha!

- KIDUMU CCM!!!

William.

vicheko vingi ni vya kinafiki, get serious!
 
- I see hii imenivunja mbavu sana, ha1 ha! ha! ha! ha! ha!, sasa mkuu hasira za nini ndugu yangu, yaani huna huruma na Vijana wa taifa la kesho? ha1 ha! ha! ha! unasema umaarufu nimeuptaia JF kwani was wrong with that ni crime? ha1 ha! ha!

- KIDUMU CCM!!!

William.

Hapo ndipo nashindwa kuelewa,itakuwaje vijana kuwa taifa la kesho na nani ni taifa la leo
 
Back
Top Bottom