CCM & Chadema: Mfano Mwingine Huu Hapa!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
Mheshimiwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Mh. Januari Makamba, jana kwenye kongamano la Vijana wa YUNA Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama; ambako pia William Malecela alikuwa mmoja wa wageni waalikwa, pamoja Jokate Mwegelo (Channel 0 TV), Reuben (clouds), Mike Mushi (JF).

Vijana ndio uti wa mgongo wa Taifa, na ndio taifa la kesho kama hatukuwaelimisha hawa vijana umuhimu wa utaifa wao, tutajenga taifa lisilo na wazalendo wa kesho; jana kwa kushirkiana na Mushi kutoka (Utawala Jamiiforums, mwenye shati la draft na miwani) tumewapa sana darasa hawa vijana hope na huko kwenye vyama vyetu vya siasa mtaelewa hili somo.

- Pia it was great kwamba tunaweza kujisema wazi mbele ya public kwamba we are JF, that was great!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.
 
nimechelewa au kushindwa kuelewa huu mfano wa CCM & CHADEMA..nashindwa ku connect dots...nachoweza kusema ilikuwa na nia ya kutuambia tu kuwa leo ulikuwa wapi na uliongea na YUNA sijui kitu gani..otherwise i dont see it meaningful to be an example to CCM and CHADEMA...
 
- JF iliwakilishwa kwa vijana pia pamoja yote mengine uliyosema! ha! ha! ha! ha!

William.
 
Sijaelewa huo mfano! What mfano exactly?

- vyama vya siasa vijikite sana kwenye kuwafikia vijana kama hawa kwenye picha, badala ya kulala macho na kutafuta kura tu, vinatumia Bllions kwenye chaguzi ndogo kwa nini wasitumie angalau millioni 500 tu kwa ajili ya vijana ambao ni great investment ya kesho kwa vyama vyao na Taifa?

William.
 
hivi huyu mbaba nyie wenzangu huwa mnamuelewa????!!..

- Ha! ha! ha! jina langu sio mbaba mbona lipo pale juu kwenye avatar, ila umenivunja mbaavu! ha! ha! ha! ha!, mbona wewe mimi huwa ninakuelewa sana! ha! ha! ha!

- KIDUMU CCM!!!

William.
 
- vyama vya siasa vijikite sana kwenye kuwafikia vijana kama hawa kwenye picha, badala ya kulala macho na kutafuta kura tu, vinatumia Bllions kwenye chaguzi ndogo kwa nini wasitumie angalau millioni 500 tu kwa ajili ya vijana ambao ni great investment ya kesho kwa vyama vyao na Taifa?

William.

Chadema imeingiaje hapa?.Bora ungesema vyama vyote vya siasa kwa ujumla wao sbb kichwa cha habari na habari yenyewe ni tofauti na ni nusunusu pia.Labda ulitaka tu tujue mmepiga picha na flani na flani ama mlikuwa na katafrija kenu kafupi labda hivyo tu.
 
Let me put this way, you want the worl to believe that picture/kongamano had nothing to do with you (as a political aspirant) but everything to do with vijana! correct?
 
- Mengine ni pamoja JF kuwakilishwa, karatasi ya sherehe il;isema Mushi toka Jamiiforums; that was big bro!

William.
 
hueleweki mkubwa.
na kama ni vijana huwezi kuwachanganya vijana wa chadema na wa ccm.huko ni vijana sura lakini akili ni za kizee.

FUNGUKA,MUDA UNAYOYOMA.
 
wakati reality on the ground ni hii:

564846_10150805899281176_82760377_n.jpg
 
Publicity stunt??

Unafahamu jitu kinaitwa CHASO??

Mkoa maalumu wa CCM??

Hongereni!

Taratibu mkuu, hachelewi kurusha ngumi huyu...

nimechelewa au kushindwa kuelewa huu mfano wa CCM & CHADEMA..nashindwa ku connect dots...nachoweza kusema ilikuwa na nia ya kutuambia tu kuwa leo ulikuwa wapi na uliongea na YUNA sijui kitu gani..otherwise i dont see it meaningful to be an example to CCM and CHADEMA...
Kigogo, umejipanga lakini?Ngoja arudi kivilee...
Sijaelewa huo mfano! What mfano exactly?
Mfano wapi mkuu, muuza sura tu huyu....
hivi huyu mbaba nyie wenzangu huwa mnamuelewa????!!..
Taratibu, ipo siku utaelewa tu...
Chadema imeingiaje hapa?.Bora ungesema vyama vyote vya siasa kwa ujumla wao sbb kichwa cha habari na habari yenyewe ni tofauti na ni nusunusu pia.Labda ulitaka tu tujue mmepiga picha na flani na flani ama mlikuwa na katafrija kenu kafupi labda hivyo tu.
Sawasawa...
Let me put this way, you want the worl to believe that picture/kongamano had nothing to do with you (as a political aspirant) but everything to do with vijana! correct?
Quite the opposite dude...
hueleweki mkubwa.
na kama ni vijana huwezi kuwachanganya vijana wa chadema na wa ccm.huko ni vijana sura lakini akili ni za kizee.

FUNGUKA,MUDA UNAYOYOMA.

Mh, ngoja aanze kufunguka,utafurahi mwenyewe....
 
William, kama kweli wewe ni strategist mwenye Nia ya kuvisaidia vyama vijikite kwa vijana, for your fase them ni CCM; them nenda kaisaidie sekretariet ya chama, tena kaanze na kijana mwenzako NAPE, maana huyo ndo anayeua chama chenu.

Sisi tunajua unachofanya le baharia, unatafuta ticketi 2015, kama ilivyo kawaida yenu. Kila la kheri kwenye mpambano.
 
Mheshimiwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Mh. Januari Makamba, jana kwenye kongamano la Vijana wa YUNA Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama; ambako pia William Malecela alikuwa mmoja wa wageni waalikwa, pamoja Jokate Mwegelo (Channel 0 TV), Reuben (clouds), Mike Mushi (JF).

Vijana ndio uti wa mgongo wa Taifa, na ndio taifa la kesho kama hatukuwaelimisha hawa vijana umuhimu wa utaifa wao, tutajenga taifa lisilo na wazalendo wa kesho; jana kwa kushirkiana na Mushi kutoka (Utawala Jamiiforums, mwenye shati la draft na miwani) tumewapa sana darasa hawa vijana hope na huko kwenye vyama vyetu vya siasa mtaelewa hili somo.

- Pia it was great kwamba tunaweza kujisema wazi mbele ya public kwamba we are JF, that was great!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

WM unapenda sana cheap popularity wewe. mifano gani hiyo unayotuambia. unategemea umaaarufu kupitia JF na picha zako za ajabu ajabu hapa. wangapi wanafanya makubwa zaidi ya hayo. wakiamua kufanya upuuzi wako huu, si tutajaza server ya JF!!!!
jaribu kuwa matured. JF si ubao wa matangazo. nenda gazeti la Uhuru, habari leo, mtanzania etc.
 
- I see hii imenivunja mbavu sana, ha1 ha! ha! ha! ha! ha!, sasa mkuu hasira za nini ndugu yangu, yaani huna huruma na Vijana wa taifa la kesho? ha1 ha! ha! ha! unasema umaarufu nimeuptaia JF kwani was wrong with that ni crime? ha1 ha! ha!

- KIDUMU CCM!!!

William.
 
William, kama kweli wewe ni strategist mwenye Nia ya kuvisaidia vyama vijikite kwa vijana, for your fase them ni CCM; them nenda kaisaidie sekretariet ya chama, tena kaanze na kijana mwenzako NAPE, maana huyo ndo anayeua chama chenu.

Sisi tunajua unachofanya le baharia, unatafuta ticketi 2015, kama ilivyo kawaida yenu. Kila la kheri kwenye mpambano.

- Hapana CCM ipo sawa ila inahitaji marekebisho kidogo tu, Mh. Nape ndio the future yeye na Januari, ndio the investment ya chama mbele ya safari, so nyie njoooni from Upinzani na sisi wengine tuje from within CCM tupambane kulisaidia taifa, kumbuka always Taifa mbele!

William.
 
Back
Top Bottom