CCM Busanda inachekesha! 25-10-2010

GITU

Member
Oct 2, 2010
16
1
Leo ni siku ambayo"kiongozi wa mkuu anawasili katika jimbo la busanda katika kata ya nyarugusu"vijana wengi hawaoneshi msisimko wowote ambao watu wengi wamechoka na chama cha ccm mpaka wazee nao wamechoka"kinachochekesha chama cha mapinduzi kinakusanya maroli ambayo yanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kuonyesha msisimko,lengo lao ni kujionyesha wanawatu wengi lakini hapana watu tumechoka
 
Nyie m'bebwe kwenye malori kama mbuzi, na wao waje na mashangigi!...these are insults!
 
Mie nadhani JK washauri wake ni watu waliopauka kisiasa, maana pale karatu niliona malori kibao sasa nikajiuliza hawa watu wahuku wanamalori kiasi hiki na hata gari ndogo zilikuwa chache sana. Watanzania amkeni na msichague CCM.

Unajia hiyo ni kama mtu aliyekutwa mtupu halafu akainama kujificha kumbe mtu aliyeko nyumba yake amamuwekea mazingira mazuri ya kumuona alivyo. sasa CCM wanapobeba watu toka sehemu mbalimbali, je hao ni wapiga kura wa eneo hilo? Tumkatae na malori yake.
 
Hizo ndiyo mbinu za CCM,kwani wewe ulikuwa haujui!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Jana magari yalianza ondoka arusha mjini asubuhi sikijua wanakwenda wapi, kumbe ilikuwa ni karatu? Siasa kazi kweli
 
Hivi bado hawakomi? Kule Zanzibar tayari wamesha sababisha ajali mbili ikiwa ni pamoja na wanananchi kupoteza maisha kwa mtindo huo wa kubeba watu kutoka sehemu nyingine kwenda sehemu mikutano ya kampeini eti kumfurahisha JK kwamba mikutano yake inajaza watu.

Je, Mnataka Mungu awaoneshe ishara gani nyinyi CCM?!
 
Je Mmehakiki majina yenu. Nimetoka kuthibitisha langu lipo, nahesabu kura moja, wewe je? Propaganda zimesha fikia mwisho wake. kila anayetoa upinzani ccm ni mwaga damu. ilikuwa cuf, leo chadema.
 
Leo ni siku ambayo"kiongozi wa mkuu anawasili katika jimbo la busanda katika kata ya nyarugusu"vijana wengi hawaoneshi msisimko wowote ambao watu wengi wamechoka na chama cha ccm mpaka wazee nao wamechoka"kinachochekesha chama cha mapinduzi kinakusanya maroli ambayo yanabeba watu kutoka sehemu mbalimbali ili kuonyesha msisimko,lengo lao ni kujionyesha wanawatu wengi lakini hapana watu tumechoka

Mimi sifungamani na upande wowote lakini maoni yangu CCM kubeba wanachama wake sioni kosa kwani mgombea uraisi hazunguki kwenye Jimbo Zima, hii ina maana wale wa mbali kama wasipopewa usafiri hawatamsikia mgombea wao wa uraisi. Ukweli ni kuwa vyama vyote vingependa ujumbe wa mgombea uraisi wao uwafikie wanajimbo wote lakini uwezo ni mdogo.
 
Arusha mpaka KARATU bado ni JIMBO?
 
Nyie m'bebwe kwenye malori kama mbuzi, na wao waje na mashangigi!...these are insults!

PK imafikirisha, lakini mijitu hii umasikini unawatafuna, vichwa ni vitupu, wakipewa kofia na Tshirt wanaona ni vityu vya thamani.

Lakini TZ inaamka, watu wanaanza kujua haki na wajibu wao.
 
Mimi sifungamani na upande wowote lakini maoni yangu CCM kubeba wanachama wake sioni kosa kwani mgombea uraisi hazunguki kwenye Jimbo Zima, hii ina maana wale wa mbali kama wasipopewa usafiri hawatamsikia mgombea wao wa uraisi. Ukweli ni kuwa vyama vyote vingependa ujumbe wa mgombea uraisi wao uwafikie wanajimbo wote lakini uwezo ni mdogo.
Ndiyo maana wengi wanatembea kwa miguu,wengine kwa baiskeli,na wengine wanajigharamia nauli kwenye mabasi ili wafike kumwona mgombea mpya na mwenye mambo mapya
 
Mimi sifungamani na upande wowote lakini maoni yangu CCM kubeba wanachama wake sioni kosa kwani mgombea uraisi hazunguki kwenye Jimbo Zima, hii ina maana wale wa mbali kama wasipopewa usafiri hawatamsikia mgombea wao wa uraisi. Ukweli ni kuwa vyama vyote vingependa ujumbe wa mgombea uraisi wao uwafikie wanajimbo wote lakini uwezo ni mdogo.

Vincent,
Umesoma sheria ya gharama za uchaguzi?
Hiyo ni rushwa!
 
PK imafikirisha, lakini mijitu hii umasikini unawatafuna, vichwa ni vitupu, wakipewa kofia na Tshirt wanaona ni vityu vya thamani.

Lakini TZ inaamka, watu wanaanza kujua haki na wajibu wao.
Kuna vijana wa CCM niliongea nao jmosi nikaanza kwa kuwauliza nyie mbona mnangania kama kupe kwenye mzonga wakacheka wakaniambia hatuna ajira sasa hivi elfu kumi kumi hivi acha tule lakini kura yetu hapati amezoea kututumia baada ya uchanguzi anatusahau tunabaki kubangaiza..Kura kwa Dr Slaa
 
Vincent,
Umesoma sheria ya gharama za uchaguzi?
Hiyo ni rushwa!

Sitegemei kupata riziki yangu kupitia sanduku la kura, sheria ya gharama za uchaguzi siyo RELEVANT. Labda sheria ya makampuni na zile za kodi ndizo nahitaji kuzielewa nisibamizwe
 
Ukiona wanachakachua hata mahudhurio ujue siku ya uchaguzi watachakachua kura ile mbaya............
 
Back
Top Bottom