CCM ARUSHA Watwangana; Fatma Hussein hoi akituhumiwa kutoa siri za chama chake

Hakiamungu nakwambia huyu Jumanne mjusi nikikutana naye uso kwa uso nakwambia ama zangu ama zake!
Yani kwenye pitapita yangu nikutane naye hana bahati.
wewe Ritz kama una nambari yake naomba unipatiage hebu!

wenzako chadema wakina lema na mungi wakimuona jumanne mjusi wanatimua mbio haooo...wanaenda kujificha kwenye mabanda ya nguruwe.! ha ha ha mjusi ni noumer...!
 
Last edited by a moderator:
Katibu mwenezi wa tawi la lika A, Fatma Hussein amepigwa vibaya sana na Mjusi ni kwenye kikao cha ndani kilichofanyika High View usiku wa kuamkia leo, alipigwa na jambazi hilo ambalo ni Green Guard pia akidaiwa Kuwa Fatma anatoa siri za CCM na kumpelekea Ally Bananga, wajumbe zaidi ya nusu walitoka kwa hasira wakihoji kwanini kiongozi wao apigwe hivyo bila kuwa na ushahidi wa tuhuma hizo..

watatwangana sana M4C PAMOJA DAIMA
 
teh teh teh
Nasikia mjusi hana utani marinda ya wavuta bangi na wala mirungi wanaojidai makamanda ameyafuta kabisa chezea mjusi mtahangaika sana

mkuu. sasa hivi sombetini makamanda wanavutia bangi na kunywa viroba vichochoroni mjusi asiwaone. jumanne mjusi akitokea tu makamanda wanaacha viroba wanatoka nduki.... ha ha ha
 
mkuu. sasa hivi sombetini makamanda wanavutia bangi na kunywa viroba vichochoroni mjusi asiwaone. jumanne mjusi akitokea tu makamanda wanaacha viroba wanatoka nduki.... ha ha ha

ndo mana Arusha imetulia mapambaf yametulizwa
 
Acha upumbavu wako wewe,Fatma amepigwa na Jumanne Mjusi wote hawa ni wapagani ama?nyang'au mkubwa na kuendekeza udini ndio sera ya maccm,rubbish!!

Sasa hutaki.!!?? huo mjusi umetumwa kiongozi wa ccm mgalatia, ubaguzi wa dini mbaya sana, wanaisema Chadema wakati na wao wanafanya tena kwa vitendo. Pole bi Fatma, mwenyezi Mungu akufanyie wepesi upate afueni mapema.malipo hapahapa duniani kudadadeki.
 
......Nipo hapa Sombetini wakinamama wamelaani sana hicho kitendo wamesema kura zao watampelekea Ally Bananga

....very sad !!!

Heri tu iwe hivyo labda ndio tutaheshimiana, haiwezekani wengine wanafanya kazi kwa moyo mmoja afu wanabaguliwa na kupigwa kisa dini. huu ni upuuzi CCM hapa Arusha.
 
ndo mana Arusha imetulia mapambaf yametulizwa

mkuu .jumanne mjusi ameanzisha OPERATION SAFISHA MAKAMANDA ARUSHA. makamanda wa chadema wote kimya. hakuna cha maandamano wala viroba . mjusi ni noumer...!
 
mkuu .jumanne mjusi ameanzisha OPERATION SAFISHA MAKAMANDA ARUSHA. makamanda wa chadema wote kimya. hakuna cha maandamano wala viroba . mjusi ni noumer...!

juzi Mungi alileta thread kulalama kuna kamanda kapigwa na mjusi mbele yao
 
Last edited by a moderator:
niko Arusha watu wa CCM wakiongozwa na Mwigula Nchembe wapo kwenye kikao hapa milestone park muda huu! nikiweza daka wanachosema nitawaambia!
 
Arusha ndo majambazi wengi wanapatikana tukianza na huyu jambazi anayeitwa mjusi pamoja na wale majamba waliomshambulia Mwigamba Samson wakiongozwa na Jambazi mkuu.........
 
J4 mjusi ni jambaz maruf arusha,akiwa wa na mtot wake abdul wameua sn,wakenda court wanashnda coz wat hawatoi ushahd kuhofia maisha yao! huyo mjuc kuktoa roho wala hawaz x2, vyombo vya sheria vchukue mkondo hlo jambaz likamatwe!
watu mnaongea ka mzaha bt huyu mjuc ni hatari na ndg zake wamemtenga!
 
Back
Top Bottom