Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 27,167
- 39,490
....
...Fatma Hussein pole sana dada !!!!
walaaniwe hao majambazi na mashetani....
imethibitika ni uongo
....
...Fatma Hussein pole sana dada !!!!
walaaniwe hao majambazi na mashetani....
Kama kawaida yako umekuja na porojo hii ndiyo breaking news? haya weka picha.
Hakiamungu nakwambia huyu Jumanne mjusi nikikutana naye uso kwa uso nakwambia ama zangu ama zake!
Yani kwenye pitapita yangu nikutane naye hana bahati.
wewe Ritz kama una nambari yake naomba unipatiage hebu!
Katibu mwenezi wa tawi la lika A, Fatma Hussein amepigwa vibaya sana na Mjusi ni kwenye kikao cha ndani kilichofanyika High View usiku wa kuamkia leo, alipigwa na jambazi hilo ambalo ni Green Guard pia akidaiwa Kuwa Fatma anatoa siri za CCM na kumpelekea Ally Bananga, wajumbe zaidi ya nusu walitoka kwa hasira wakihoji kwanini kiongozi wao apigwe hivyo bila kuwa na ushahidi wa tuhuma hizo..
teh teh teh
Nasikia mjusi hana utani marinda ya wavuta bangi na wala mirungi wanaojidai makamanda ameyafuta kabisa chezea mjusi mtahangaika sana
mkuu. sasa hivi sombetini makamanda wanavutia bangi na kunywa viroba vichochoroni mjusi asiwaone. jumanne mjusi akitokea tu makamanda wanaacha viroba wanatoka nduki.... ha ha ha
Acha upumbavu wako wewe,Fatma amepigwa na Jumanne Mjusi wote hawa ni wapagani ama?nyang'au mkubwa na kuendekeza udini ndio sera ya maccm,rubbish!!
imethibitika ni uongo
......Nipo hapa Sombetini wakinamama wamelaani sana hicho kitendo wamesema kura zao watampelekea Ally Bananga
....very sad !!!
....pole sana dada Fatma !!
ndo mana Arusha imetulia mapambaf yametulizwa
mkuu .jumanne mjusi ameanzisha OPERATION SAFISHA MAKAMANDA ARUSHA. makamanda wa chadema wote kimya. hakuna cha maandamano wala viroba . mjusi ni noumer...!
Fatma atangaze kujiunga na chadema, ccm hoi wamebaki kupiga watu tu
juzi Mungi alileta thread kulalama kuna kamanda kapigwa na mjusi mbele yao
Tukimbilie wapi jamani?Ndondi kila sehemu!