CCM Arusha wapigana kisa UBUNGE

Hayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara Thomas Munisi na Jastin Nyaria kwenye bar ya Tanzanite Kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua Godbless Lema

Hii ni mwendelezo wa ccm kukataliwa Arusha mjini
Bavicha bhana...
 
Ah! Kumbe walevi ndio wslopigana, ndiomana wanamjuwa Lema tu mlevi mwenzao.
 
Arusha watu wameona mwanga....Tanzania inabadilika sana...Wataisoma plate no mwaka huu....
 
Majambazi yanapigania uongozi. Halaf huyu jamaa Simon wa tanzanite asipoangalia ataharibu biashara yake.unaruhusu vipi majambazi yapigane kwenye biashara yako.

Kweli mkuu, Nyari jambazi sugu. Enzi za IGP Mahita alisumbua Sana. JK ndo kawapiga mkwara ndio wakapowa
 
hayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara thomas munisi na jastin nyaria kwenye bar ya tanzanite kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua godbless lema

hii ni mwendelezo wa ccm kukataliwa arusha mjini
hamnamwenye sumuya panya hapo unawawekea kwenye drink wakirudi wakapigane peponi
 
Siasa muda flani watu wanakuwa vipofu yan hata alama za nyakati zimewashinda kusoma arusha mjini
 
Hivi Arusha kuna Jambazi zaidi ya Kichaa Lema. Nyari atamfuta kwenye ramani peupee

Maccm kwa kukumbatia majambazi,

Justine Nyari alifungwa miaka 30 jela kwa ujambazi wa kutumia silaha baada ya kuvamia Arusha Duty Free, eti baadaye akatolewa kwa msamaha wa rais, hapo hapo akapewa ukamanda wa vijana wa ccm.


Jumanne Mjusi alifungwa jela maisha kwa ujambazi, akatolewa kwa msamaha wa rais na leo ni green guard...
 
Hivi tunaposema Ukilisimamisha Jiwe na ccm Arusha jiwe litashinda.

Hii kauli ccm hawaielewi au wanajifanya vichwa ngumu...

chakii;
Tatizo si kichwa ngumu, tatizo ni kuwa wanaamini kuwa uchaguzi si kura ni fweza. Ukiwa nazo mifuko imetuna tu, watakujaza kura zao. CCM hawaamini sanduku la kura wanaamini umetoa ngapi. Ngojea usikilize huo mchakato wa kuchujana tu, bahasha nje nje, wakijua ukiupata ubunge tu zitaanza kumiminika kwako. Yaani, hata wapigweje, hawasikii kwani walikua nyama ya kenge, mioyo imekuwa ya kenge, mpaka damu ziwatoke masikioni
 
Du naipenda sana Arusha watu wake wanajielewa sana, leo nmeshuhudia hapa Mwanza wenje anapewa support ya kutosha kweli ccm wakaweke nguvu kusini otherwise wameangukia pua
 
Watu wa magamba walishasena kuwa raisi hawezi kutika kaskazini, huo ni ubaguzi tosha.
Nitashangaa kama kaskazini kuna watu wanaiunga mkono ccm.
 
Hayo yametokea mdaa si mrefu kati ya mfanyabiashara Thomas Munisi na Jastin Nyaria kwenye bar ya Tanzanite Kimandolu na wananchi wameondoka kwenye bar hiyo nakusema sisi tunamtambua Godbless LemaHii ni mwendelezo wa ccm kukataliwa Arusha mjini
Wameanzia bar kwa kila mmoja kumwambia tuu mwingine kwamba atagombea, sasa wakikutana ktk office wakati wa kuchukua form, kurudisha na hata ktk kampeni za ndani itakuweje?
 
Back
Top Bottom