Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,802
- 71,229
Nimeangalia mapokezi ya Taifa stars JKNIA na hakika NIMEONA AIBU MIMI.
Yaani mmekosa ubunifu hadi mna watumia vijana wanaopambana kuitetea nchi kama mtaji wa kuivusha CCM na mwenyekiti wenu Samia Suluhu?
Hayo mambo sijui zawadi ya goli ni ya nini nyakati hizi na kama yapo kulikuwa na sababu gani wachezaji wamechoka na safari kisha kuwasimamisha Juani kuwakabidhi milioni kumi huku sifa kem kem kwa Samia?
Msigwa katunga na jina eti "OPERESHENI SAMIA KOMBE LA DUNIA" hamuoni aibu?
Tafuteni clip ya Azamtv ikionyesha pesa zikikabidhiwa kisha someni lugha ya Alama kati ya Samatta na Msuva pia mapokeo wa wachezaji kuhusu hafla hiyo.
Ni aibu kumtaja Samia katika mapambano haya wakati ukweli ni kuwa hajawahi kupoteza usingizi hata dakika 10 kwa ajili ya haya mashindano wakati kuna watu katika TFF, wizara na benchi la ufundi pengine hata hamu ya kula inapotea kwa hofu na kuchanganyikiwa kila wakati.
Waacheni hawa wachezaji, nyie endeleeni na misafara ya Makonda kupanda punda, ngamia na matrekta msiwachanganye maana hao wachezaji wanajua tabia zenu, wakishinda ni WENU wakipoteza WATAJIJUA.