Polisi jamii
JF-Expert Member
- Mar 22, 2013
- 2,604
- 1,379
we jamaa una akili nyingi sana haijawai tokea series ya cartoon/animation kama ICE AGEanimation kali kulikozote hapo ni ICE AGE SERIES,hakunaga..
we jamaa una akili nyingi sana haijawai tokea series ya cartoon/animation kama ICE AGEanimation kali kulikozote hapo ni ICE AGE SERIES,hakunaga..
Sikuwa mpenzi wa cartoon lakini Kuna moja inaitwa THE CROODE daahh n shidaa Kama kuna za aina ile nyingine npo radhi nnunueWadau wa cartoon movie for enjoyment tupia cartoons movies unazozipenda hapa .
nizipendazo ;Tom & Jerry
Angry bird
Alvin
hiv kwa nn tusiunde group wassap kwa wapenz wote wa animation.....