Mnatuumiza MOYO wakuu.... Wengine tutaishia kuona tu....
wabongo ndio maana tumeshindwa kwenda mbele, alternatives na priorities zinakuwa nyingi kupita kiasi, du!hapo je?
View attachment 47540
Unapenda eeehh!!!Oohhh Yes
Now we are talking ..
hapo je?
View attachment 47540
sasa lamborghini bongo utaiendesha wap??
uko uko kwa kweli!
Hayo ni maisha tu ambayo yatabaki kuwa ndoto kwetu watanzania tulio wengi
hapo je?
View attachment 47540
wapi mkuu?naona maluwe luwe tu
zote hazijanivutia!
Hii kitu iko kichwani mwangu siku nitakaamisha makazi na kuwa mkulima kamilikaka kuna alternative nyingi tu
View attachment 47487