Career Opportunity za kozi ya bachelor of Science in Human Nutrition

NANGA WA DEPO

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
917
1,198
Wandugu.....
Mdogo wangu kachaguliwa hiyo kozi chuo kikuu cha sokoine sua,,,,naomba mtu ambaye yuko kwenye hiyo field au yeyote mwenye kujua anisaidie yafutayo::

1. Kama ni ajira unaajiriwa maeneo gani hasa iwe government au n.G.O's????

2.Na kama atajiajiri atafanya kazi gani hasa??

Amejikuta kapangiwa tu hiyo kozi ingawa aliichagua kama chaguo la mwisho kujaza nafasi lakini hakutegemea.....Yeye alikuwa amelenga udaktari...
 
kulaleki yaan amelenga udaktari akaangukia pua .....hii course ya kifala kichizi atakuwa Baba Lishe ..kama ni wa kike atakuwa Mama Lishe . . ndo kujiajiri huko asiwaze sana.
 
hapana hakuna shida kabisa mzee, mwambie ni kozi nzuri kama atakaa na kuifikiria nje ya uzio wake, but kama atawazia kuajiriwa duh ni sheedah ila kma atawaza afanye nin na hiyo kozi ili apate kutoboa kimaishaaa anatka bila kuchelewa mtaani
 
Ni kozi nzuri sana nimesoma nao department moja wanafanya mahospital kama washauri wa ulaji bora serikali kuna post za nutritional officer ni pm nkupatie mtu atakae mpa maelezo zaidi amesoma hiyo HN
 
kulaleki yaan amelenga udaktari akaangukia pua .....hii course ya kifala kichizi atakuwa Baba Lishe ..kama ni wa kike atakuwa Mama Lishe . . ndo kujiajiri huko asiwaze sana.
SEMA WEWE NAE MUCH KNOW SAANA.

MICHANGO YAKO SIIELEWAGI!!
 
Back
Top Bottom