Capitalism. A love story

Nonda

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
13,358
4,304
wanaJF,

Kwa vile Tanzania sasa na sisi tumeingia katika huu mfumo wa soko huria si vibaya kuanza kujitayarisha na yatakayotufika siku za mbele.

Hii documentary ya Michael Moore inajaribu kuonesha sura iliyofichika ya soko huria holela!

Hii link hapa chini itakupeleka huko ambako utaweza kuiangalia.

[video]http://topdocumentaryfilms.com/capitalism-love-story/[/video]
 
Kama kawaida yetu waafrika, hatutajitayarisha ila tutakwenda tu kwa kusukumwa na matukio ya humo ndani!
 
Back
Top Bottom