Canadians TO Launch Plastic Currency

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
Muktasari wa habari

Canada is taking a progressive step forward economically, finalizing its plans to join the likes of Australia and 30 other nations by ditching cotton-based paper money and introducing plastic-based bills.

Traditionally money such as the U.S. dollar and Euro (European Union) bank notes are printed on paper fiber. But there's been growing pressure to switch to plastic bills, due to their advantages.

Plastic bills are more durable than cotton fiber ones as they resist crinkling and creasing. This aids in automated vending schemes. Further, plastic bills are lighter, thinner, and (reportedly) more hygienic (as they absorb less bacteria). The new polymer currency is fully recyclable at its end of life. Cost wise, they are significantly more expensive than traditional bank notes, costing twice times as much to make. However, they're estimated to last 2.5 times as long, so the investment is expected to pay off in the long run.................................................

Jisomeee habari kamlili hapa
DailyTech - Canadians Get Pumped for Launch of Plastic Currency

 
hii ni chan'gamoto kwa tanzania, maana hizi noti zetu zilizokuja juzi hazijapitisha ata miaka 2 choka mbaya uatasema zimeshakaa kwenye mzunguko kwa miaka mingi, tuangalie na sisi uwezekano wa kuzitumia hizi za plastic although there expensive to manufacture but there durable meaning zitakaa muda mrefu katika mzunguko,
 
Hivi napenda kujua gharama ya kuchapisha au utengenza Noti moja ya 10,000 Tsh ni shiingi ngapi? Na noti ikiingia wenye mzunguo ina uwezo wa kuaa muda gani kabla ya kuchakaa kama itatumika mara kwa mara.
 
nafkiri hio technology wanayotaka kutumia canada ya cotton ndo sisi tumetumia hizi hela mpya ni cotton ndo mana zinachuja kama jeans ya kichina
 
Back
Top Bottom