Zitto,
Mheshimiwa nitakuwa shukran zangu pamoja na kwamba watu wansema ni wajibu wako lakini wanasahau mila na desturi za mswahili kuwa shukran hutolewa hata ukipewa chakula na mama yako ama mkeo..
Mungu hushukuriwa hata kama nguvu yote ya kupata umeifanya wewe.. ndio ustaarabu wa binadamu hata kama ni wajibu wa Mungu kuwasaidia viumbe wake.
Binafsi nakushukuru kwa kulifikisha swala hili apale linapotakiwa kama mjumbe wetu kuliko kundi la madudu waliokaa huko wakichapa usingizi.. sijui nalo ni jukumu lao vile vile!
Kifupi mkuu Makampuni yote ya Canada yaliyopo Tanzania hivi sasa uyameingia Ubia na viongozi wetu, inafahamika vizuri sana tena basi kuna baadhi ya wachimbaji waodgowadogo ambao wamejaribu kuyafuata mashirika hayo kwa ubia wamejikuta wakipoteza machimbo yao kwa viongozi...
Kumbuka mkuu hadi sasa hivi ardhi ni mali ya serikali, hivyo baadhi ya viongozi wetu hutumia kimwanya hicho kuchukua ardhi na kuweka mikataba ambayo leo hii inatupa matatizo makubwa.
hakuna mshimbaji madini yeyote Tanzania anayetaka kujihusisha na mashirika hayo kwa sababu wanaelewa hatma yake. Ukiwafuata tu kuomba ufadhili wao basi wao huchukua report hizo na kuzipeleka kwa wapambe wao (viongozi wetu) na kuomba kibali cha kifanya utafiti bila kumhusisha tena mwananchi.. Huko hukata kisu safi na kibali hupatikana kwa majadiliano ambayo sidhani hata Bungeni yamejadiliwa...
This is Tanzania in a first stage of Economic revolution - UFISADI.