Canada and Tanzania to begin negotiations on FIPA

Waziri mkuu wa Canada alipofanya ziara yake Tanzania, moja ya maoni yake kuhusu uuwekezaji hapa kwetu hususa madini, yalikuwa ni sheria mbovu tulizoweka ambazo hazilindi maslahi ya nchi. Sasa sijui ni nini kinachoifanya serikali yake itake kinga kwa wawekezaji kutoka nchini kwake? Alikuwa akipiga porojo kufurahisha akina Bomani na kamati yake? Ni aibu serikali kwenda kufananya mazungumzo hayo wakati kuna miswada bungeni kuhusu mchango mdogo wa madini katika uchumi wetu. Wakishatia saini, je sheria ya bunge itakuwa na maana gani? Kwa nini serikali ya CCM inatuzunguka hivi? Haya ni maswali ambayo tujiiulize kama CCM ina nia kweli ya maisha bora kwa wote.
WABUNGE WA CCM IDHIBITINI SERIKALI YENU.
 
Lowassa (kwa hili nilimsifu) alifuta mkataba wa City Water na wao wakaamua kufungua mashtaka UK kwa kujua kwamba watashinda, na ukweli unajulikana kwamba Tanzania ilishinda kesi hiyo. Hivyo basi kama tukiacha woga na kuonyesha jumuiya ya kimataifa ikiwemo UN mikataba tuliyosaini na kampuni za nje ili kuchimba rasilimali zetu haina maslahi kwa Watanzania, popote pale duniani tutashinda kesi.

Imesemwa kwamba mkataba ulivunjwa kichwa-kichwa; kisheria tulifanya kosa na pengine tungelazimika kulipa mabilioni kwa kosa hili. Kwa hili Tanzania haikushinda kesi. Tungevunja mkataba 'kisomi' tungekuwa tumefanya la maana sana.

Hao matapeli walituburuza mahakamani kututaka tuwalipe fidia. Unaweza kusema tulishinda ila tafsiri sahihi ni kwamba matapeli walishindwa. Nasema hivi kwa sababu moja ya madai yetu mahakamani ni kwamba tulipwe fidia, ambacho hatukupata. Maamuzi ya hiyo kesi ni kuwa Tanzania na hao matapeli, kila mmoja ametakiwa kubeba mzigo wa gharama aliyoingia.

Nadhani tumepoteza zaidi ya billioni 25

Btw, tumevurunda kwenye kuingia mikataba, hali kadhalika kuvunja !!
:mad:

Kufikia hatua kama hii kwenye kesi ya City Water kumechangiwa sana na wanaharakati. (Hii ni post ya mwaka jana). Who knows what the outcome would have been without them!

....F@$ck the World Bank!

.
 
Mkandara hiyo 1.75 million kwa miaka miwili na tukiweka bei ya ounce moja $800 basi hiyo dhahabu imewaingizia wachukuaji $2,800,000,000 tangu 2006 na ukiweka uzalishaji wa mwaka huu utakuwa ni huo huo, kama tungekuwa tunachukua 50% basi inatosha kabisa kujitosheleza bajeti yetu bila msaada wowote. Lakini miaka ya karibuni dhahabu zaidi imegunduliwa Tanzania, na kuna uwezekano hawa jamaa wanaunderstate uzalishaji halisi wa dhahabu maana wanajua kwamba Watanzania tumeshashtuka na ujambazi wanaoufanya.

Out of $2,800,000,000 that Barrick made out 1.75 million ounces, Tanzania has received royalties, tax and duty worth $84,000,000! That is the 3%

This is oxshit!

We need to send a strong message to our parliament, news paper and educate all Tanzanians that our own government is betraying us.

Screw the Canadians, if this is how the spirit of Pierre Trudeau is worki to get payback for all the aid they gave us, they may as well pack and go.

When will Tanzania stop being a World Bank and donor country puppet?

That is why I like Hugo Chavez approach on oil and everyone including American oil companies are working a win win situation with Chavez!
 
Chavez is a smart guy. Our leaders are way too ignorant and stupid to understand what they should actually do to create and sustain a win-win strategy. They are busy being corrupt and doing business in office, why didnt they enter business if they wanted to make money, stupid?
 
Back
Top Bottom