Can You See The Cat??

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
pussy.jpg
Atakayeona namrushia vocha ya buku 5.........
 
naona Boflo unataka kuturudisha darasani kusoma tena archview. sijaona unless kama google earth inaruhusiwa kutumia
 
Last edited by a moderator:
Pale kwenye mawe, anaangalia kushoto he is "seated".
Tuma vocha sasa.
Roulette nipe namba yako ya simu kwa pm nikurushie

Kwa nini unajiita Roulette?
Unacheza Roulette?
mimi ndio game yangu, ina namba 36, jumlisha 1 mpaka 36 utapata 666 na hii ni namba ya........
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom