Can dating down work?

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
92,231
113,594
Can you date a guy or a gal whom you think is not on your level and still make the relationship work? For example, a blue collar guy dating a woman who is a doctor....
 
hapo ndio mume hutaka baadae aje afulishwe chupi kwa kuwa wyf hana tym yuko bize kuenda makazi.
 
yes you can!
unajua relationship kuanza inategemea na wewe mwenyewe unamdatisha vp huyo mtu wether ni mwanamke/ mwanaume. hii itatokana na the way unavyoongea, pengine ukamvutia, au the way unavyomfanya ajisikie mtu mwenye furaha pindi tu awapo na wewe.
hivyo kama unakua anamfanya awe so happy, atapenda asiwe anakukosa labda weekends, then this will make him/ her to fall in love with u.
watu kwenye mahusiano wanatafuta ile hali ya kuwa happy and comfort, then if someone is doing that to you heartly, what are you waiting for?
 
Guys need to build that confidence of theirs. ukishaanza kumtizama mwanamke kwa jicho la elimu, kazi au pesa alizonazo wallah utaishia kuback low!! Be confident and ikiwezekana mwonyeshe kuwa vyote alivyonavyo doesnt count anything without your LOVE !! Be a man and show that yeye kuwa na pesa, elimu au kazi nzuri kukushinda si kwa kuwa wewe umeshindwa bali kwa kuwa HUTAKI na HUJAAMUA.

These are the kind of men we usually fall for when it comes to those differences!!
 
Jamaa angu ana demu mjeshi kila siku nyumbani ni amri akibisha anakula mbata na jamaa anampenda sana huyu demu kazi zote za home yeye duh na jamaa nae ana kazi
 
huku first world,mwanamume blue collar na mwanamke white collar wala sio deal.kwa sisi waafrika mwanamama hata awe white collar mtaelewana tu-cause choices for our african sisters are limited cause most of them wakishakuwa succesfull hawataki tena mtu wa mbali wanataka mbongo mwenzao-hapa ndipo akina mimi(blue collar)tunafill hiyo vacuum
 
huku first world,mwanamume blue collar na mwanamke white collar wala sio deal.

Kwa hiyo kama sio deal mtaelewana pia, ndiyo?

kwa sisi waafrika mwanamama hata awe white collar mtaelewana tu-cause choices for our african sisters are limited cause most of them wakishakuwa succesfull hawataki tena mtu wa mbali wanataka mbongo mwenzao-hapa ndipo akina mimi(blue collar)tunafill hiyo vacuum

Tofauti ya hiki na hicho ulichokisema kuhusu nchi zilizoendelea ni ipi?
 
NN,samahani by 'sio deal' i meant ni kawaida its not a big thing,and again i meant woman in the diaspora can cope with a blue collar hubby but back home sooner or later relationships of this kind wherby the woman is white collar cracks start appearing
 
Jamani 2we na uwazi kwa swala hili.nimeona jamaa blue collar akiuza kila ki2 alichonacho kumpeleka mpenzi wake university ili angalau wafanikiwe kimaisha.matokeo ni mume kugeuka kuwa hauzboi na kupatiwa fixture ya hauzwak.mke ni yeye na kazi na kazi na yeye.
 
Haina maana hili linatokea katika kila mahusiano ya blue collar and white collar.
 
Ofcoz... love is all abt happiness if Im truly hppy beside her will love her til the end sitojal wat class in life she has... n I will respect her as much coz she will be the Queen wamoyo na mie king wake
 
Don't you think that's easier said than done?
 
That difficult I knw but B'liv me wen u find a truly hppness take it n hold in to it till the end... if u mis the chance kisa material thing u will regret it in ur life time... level dnt mata
 
...back to the topic, I concur with mwanajamiione, for a guy I think confidence is the key, at least to start some sort of a relationship with someone who's above their level, if a guy is confident enough to show up to her and lay it all down!, kama KE anajielewa and if she has interest in exploring "new things" she will be curious to know about him, noting the confidence he has to even 'go near her', from there sasa ME akili ku mkichwa, if he plays his cards right, get a chance to move one step ahead in a relationship and then spice it up with respect and irresistible romance!,...she's in. But am not sure if this will work kwa kaka zangu and the reason is, by the end of the day somehow,somewhere watataka tu kujitunisha kuonekana UUME wao ndani ya nyumba which is not a bad idea but they usually do it in a wrong way na sisi tukiwashangaa wanaona kudharauliwa kumbe It's just miscommunication.
 
Guys need to build that confidence of theirs. ukishaanza kumtizama mwanamke kwa jicho la elimu, kazi au pesa alizonazo wallah utaishia kuback low!! Be confident and ikiwezekana mwonyeshe kuwa vyote alivyonavyo doesnt count anything without your LOVE !! Be a man and show that yeye kuwa na pesa, elimu au kazi nzuri kukushinda si kwa kuwa wewe umeshindwa bali kwa kuwa HUTAKI na HUJAAMUA.

These are the kind of men we usually fall for when it comes to those differences!!

unaongelea ideal world, umesahau the world is not ideal, there is no such a thing, ndege wanaofanana wanaruka pamoja, yes beyonce does not need jigga money but he need ferrari as birthday present!!!!
 
Back
Top Bottom