Angalia vizuri mzee huenda upoShukrani sana kwa taarifa,kwa shazi hili waliloita nimekosekana
Ngoja nikutumie jina langu Pm unijaribie nawe kuniangalizia,Nakuomba pleaseAngalia vizuri mzee huenda upo
Kama kada zipiNaona kuna kada wamechujwa Moja kwa moja
Hahah tuma mkuu nikusaidieNgoja nikutumie jina langu Pm unijaribie nawe kuniangalizia,Nakuomba please
nishakutumia kwenye Meseji zako angaliaHahah tuma mkuu nikusaidie
Kati ya majina haya unakosa mkuunishakutumia kwenye Meseji zako angalia
sorry naomba tuchati pm hapa majina yakionekana sio vizuriKati ya majina haya unakosa mkuu
Ramadhani juma salumu
Juma ramadhani simba
Juma saidi ramadhani
Kati ya majina haya unakosa mkuu
Ramadhani juma salumu
Juma ramadhani simba
Juma saidi ramadhani
Hata mm eti kwenye rundo la watu 250 jina langu halipo hadi najiuliza kuna formula gani hapa inatumika.Shukrani sana kwa taarifa,kwa shazi hili waliloita nimekosekana
Angalia hzo zsizokuwa na mchujo unaweza pata pichaKama kada zipi
UshafeliIvi ndugu zangu lugha gni uwa inatumika ya malkia au y kwetu namongo
Dah hata mim mkuu rundo la watu 300 sipo sema fleshi tu mchezo wenyewe km kubeti tu.Hata mm eti kwenye rundo la watu 250 jina langu halipo hadi najiuliza kuna formula gani hapa inatumika.
Umeomba kada gani nawewe umesoma Fani gani Mkuu tuanze hapo?Hata mm eti kwenye rundo la watu 250 jina langu halipo hadi najiuliza kuna formula gani hapa inatumika.
Kada gani ila ni Malkia hutumika vipi unaogopa Lugha Mkuu ila mbona kiswahili ndicho kigumu kwenye Usaili maneno yote hupotea.Ivi ndugu zangu lugha gni uwa inatumika ya malkia au y kwetu namongo