akili akili
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,706
- 1,052
Kama unaona una sifa zote, nenda utumishi kabla ya siku ya usaili, peleka malalamiko yako pale.Ukiwashawishi vizuri utaruhusiwa kufanya usaili. Kila la heri mkuu.Kulingana na tangazo lao, "Mwombaji ambaye atajaza taarifa zote mhimu ana uwezekano mkubwa wa kuitwa kwa ajili ya usaili ".
Hapo nimejaribu kuweka baadhi ya nukuu ya tangazo lao.