Cag umetufumbua macho wizi wa pesa chadema

Mmh kwa yanyoendelea chadema wacha nihamie chama cha

bwanayesu

mmhhh hata uliowatarajia kumbe wanajishonesha wanajifanya kufungisha watu mitaani wanakufa na bastola wao wana enjoy life demn politics.......

Thanks cag umetufmbua macho hii dhambi ya ufisadi itawalilia kila sehemu aijalishi wa chadema wala sisiemu wala kafu wala enensisiara mageuzi

Sasa hapa CAG kasema nini? hebu fafanua kwani ninachojifunza leo hapa ni kuwa tangu jana Kiranja aweke suala la Usalama na Mzengi , watu wamekuja hapa tangu asubuhi ni kuhakikisha kuwa wanaweka thread mpya hata kama zinafanana lengo ni kuwafanya watu wawe bize na chadema na sio kusoma suala lingine lolote.
 
hii mijitu mingine bana, sijui inajua kila mtu anajua kila kitu kwa wakati wowote? as long as long umeamua kuleta mada,lete ishu kamili otherwise baadhi yetu tutahesabu ni umbeya tu
 
Hii habari tulianza kuizungumzia since last week, lakini watu walikuwa hawataki kuamini, sasa habari ndiyo hiyo..nani wakumnyoshea mwenzake kidole, hakuna siasa wala vyama vya siasa wote ni walewale tuu, wachumia tumbo.

Habari gani iyo? Mbona siwaelewi?
 
Back
Top Bottom