Tony Almeda
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 397
- 122
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali.Mkuu umenena vyema haswa. CAG kazi yake ni external auditor wa wizara na idara za serikali. Mpango kazi wake ni kutoa opinion kwenye hesabu za serikali na jukumu la kuzuia ama kugundua wizi ni la viongozi wa Idara za serikali. Hawa huwa wana watu wanaitwa Internal Auditors ili kuwasaidia kujua kama idara zinaendeshwa vizuri na internal controls ziko in place. Unapompa CAG kazi za special audit (hasa zinapokuwa nyingi) unampotezea muda wa kufanya shughuli zake.
Hivi Internal Auditors wa Idara za Serikali wapo wapi?
Mkaguzi ulishalichanganua na kila mtu analijua
Naomba hili la Mdhibiti unichanganulie! kinachidhitiwa ninini?