Wambugani
JF-Expert Member
- Dec 8, 2007
- 1,757
- 276
Kama kuna watu sikutaka kuwaona ni wanne kwanza ni yeye mwenyewe kama rais (ila hili nimelivumilia) wizarani sikupenda kuwaona Ngeleja yule msela, Mkulo yule mkulaji na Kawa Mbwa alojenga matundu manne ya choo kwa mil mia saba!
Hivi Uhusiano na Uratibu ni Wizara gani tena? Ama kweli tutabeba mzigo ambao hatustahili.