mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,251
Hakika sikutegemea Mwanasheria aliyabobea katika masuala ya Sheria Na Waziri wa Sheria Na Katiba Mh.Mwakyembe angetamka maneno hayo yeye.Mh.Mwakyembe alipaswa kuwa mstari wa mbele kumshauri Mh.Rais umuhimu wa Nchi kuwa Na Katiba Mpya ukizingatia Serikali imetumia mamilioni ya Fedha za Masikini wa Tanzania ktk Tume ya Warioba Na Bunge la Katiba.Hakika inashangaza sana kutokamilisha mchakato wa katiba mpya.Nawaomba Watanzania tupaze sauti zetu tudai Katiba Mpya.