Bwana Harusi amzibua kibao Bi harusi-siku ya harusi.

Ina maana alikuwa hajwahi kumuona mamamkwe wake mpaka wakati wa harusi?
 
kawaida yao hao kuchapana makonde ndio maana kuacha jambo la kawaida wao kuhamia dk
 
Wote wako sawa! Coz wametii kile mwili umerespond on spot infront of th event! Hawajafanya unafiki, wote wameonesha their innate nature! Gud.
 
Sio poa! Kuanzia bibi arusi badala amshangilie Mama mkwe yeye anamcheka na jamaa kashindwa kuzuia hasira ila inakera.
 
Back
Top Bottom