Filipo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 9,342
- 5,536
Kama nina pasi je yanavutwa angalao yaonekane na kushepiwa?
kumbe una pasi! Hizi avatar zinaficha mambo mengi sana!
Kama nina pasi je yanavutwa angalao yaonekane na kushepiwa?
Yanainuliwa kidogo nawe uonekane umo..
kumbe una pasi! Hizi avatar zinaficha mambo mengi sana!
Na Kama ni makubwa sana?
yaani we acha tu lakini mchina si ndio huyu ukikutana na mimi kila kitu ntakuwa nimesharekebisha, lakini embu ataje na side effects ili tukubaliane na matokeo kwanza kisaikolojia
ninge kushangaa wangu kukubali huu mwaliko.
Wewe huna hicho kin...???
Na Kama ni makubwa sana?
Nadhani hapa nawezatoa msaada.............
Haya nipe huo msaada....
Si kuyapunguza lakini,ni jinsi ya kuyatumia ipasavyo...
Wengi wamepoteza maisha kwa kufumaniwa!
Si ni mpaka pale tutakapochoka kufanya siri au.................
Ukumuona yule mkenya aliyenasa?
Kubali matokeo kaka,hata ukitoa vitisho kuibiwa utaibiwa tu.....
Nampenda sana Rutta wangu,
na sifikirii kutengana nae.
Hvyo ulie tu.
Sijasema kutengana naye mama mi nazungumzia wizi hapa au unaogopa wezi..
kininnn????????????si umalizie mbona umeishia njiani?????au nikusaidie???Wewe huna hicho kin...???