But our winner is the HTC One. Beating all other Android phones and inciting sly glances from even h

chinga4

Senior Member
Mar 18, 2013
131
57
But our winner is the HTC One. Beating all other Android phones
and inciting sly glances from even hardcore Apple fans, its sleek
design, fine performance and stunning screen make this a superb
smartphone. And that's why we make it the best smartphone to buy
in 2013, for now...
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1374286288440.jpg
    uploadfromtaptalk1374286288440.jpg
    24.9 KB · Views: 271
IPhone5 ina processor ya 1.5ghz wakat HTC one ina processor ya 1.7ghz with 2gb ram
 
Hahahahahaa mwambie yaaah HTC one is stunning na inatisha kwa kwelii na nshawai itumia kidogo ya mshikaji hapa but kaa ukijua HTC one naye ni ---- kwa Chinese maker XIAOMI MI-2S hii is the most fastest android phone on the world and bei yake ni nusu ya s4 vile vile inakaa cha charge hakuna mfanoo saivi hii kampuni inatengeneza XIAOMI MI 3 Balaa kabisa I must have it.........
 
usisahau htc one imevunja rekodi ya dunia ya simu isiyotengenezeka even kutoa betry inahitaji uwe professional wa hali ya juu. sasa ngoja ikorofishe hata spika uone mziki wake
 
Its durable ikikorofisha ujue life time yake imeisha miaka mia nane .....
htc one user..

kwasababu ni mpya unaipet pet ila zikitajwa simu ngumu zinazodumu htc one haiwezi kuwemo.

HTC-One-vs-iPhone-5-drop-test-results-in-broken-glass-shattered-dreams.jpg

hawa jamaa wasipoangalia soon watapotea ulimwengu wa simu

zipo test nyingi kaka ukitaka ntakuonesha in ful details jinsi ilivofeli
 
hii china phone ndo nahisi haina chinese clone

ni unibody mkuu very complicated device ukitaka kuiclone inabidi ujipange, pamoja na ugumu wote sio famous kwa watu wa kawaida (japo ni maarufu kwa wana tech) ndio maana wachina hawatengenezi
 
Hahahahahaa mwambie yaaah HTC one is stunning na inatisha kwa kwelii na nshawai itumia kidogo ya mshikaji hapa but kaa ukijua HTC one naye ni ---- kwa Chinese maker XIAOMI MI-2S hii is the most fastest android phone on the world and bei yake ni nusu ya s4 vile vile inakaa cha charge hakuna mfanoo saivi hii kampuni inatengeneza XIAOMI MI 3 Balaa kabisa I must have it.........

price of xiaomi= half of s4
performance of xiaomi= double of s4
 
kwasababu ni mpya unaipet pet ila zikitajwa simu ngumu zinazodumu htc one haiwezi kuwemo.

HTC-One-vs-iPhone-5-drop-test-results-in-broken-glass-shattered-dreams.jpg

hawa jamaa wasipoangalia soon watapotea ulimwengu wa simu

zipo test nyingi kaka ukitaka ntakuonesha in ful details jinsi ilivofeli

Mkuu naunga mkono kbs, unweza ukaimagine milango inayouzwa Funitures centers kutoka nje! na Mnininga yetu hapa...durability is non negotiable
 
Mkimaliza kurumbana, jaji atwambie mshindi ni nani kwa vigezo vyote vya jumla, yaani ukaaji wa chaji muda mrefu, speed ya processor yake, urahisi wa kudownload na kuinstall/uninstall apps, urahisi wa kutumia OS zake, durability and stability yake, nguvu ya camera yake nk.

Mkifanya hivyo mtakuwa mmetusaidia sana sisi wenye elimu ya akina Mulugoh, ili tukienda kununua tusije angukia pua!
 
Back
Top Bottom