Bussiness information techonology vs purchasing and supply management

prototypeman

JF-Expert Member
Apr 4, 2014
288
108
poleni na majukumu jamani,naombeni kujuzwa ipi professional yenye wepesi wa ajira kati ya hizo tajwa hapo juu? katika ngazi ya digrii.
 

Attachments

  • IMG_20140427_223541.jpg
    IMG_20140427_223541.jpg
    47.1 KB · Views: 57
Natumaini wote ni wazima wa siha njema.Jamani naomba ufafanuzi wa hii kozi inayoitwa GEOMATICS,nataka nikachukue diploma ya hii kozi...je? ina fursa nzuri katika kujiajili na kuajiliwa? na kama ndio kwa ngazi ya diploma ni rahisi kupata ajira?
 
Natumaini wote ni wazima na weekend inamalizika vizuri
Nataka kujuzwa juu ya hii program inayoitwa bachelor of business information technology ni nzuri kwa kujiari na kuajiriwa ?,pia inatolewa vyuo gani kwa hapa Tanzania?
Nawasilisha.
 
Habari za majukumu wanajamvi.
Mimi nimeomba degree mwaka huu na kuna uwezekano mkubwa wa kupangiwa program ya REAL ESTATE pale Ardhi university, je? hii program iko vizuri kwa upande wa kujiajili? Naombeni ushauri wenu.
 
Ushachagua afu ndo unaiza?anyway karibu ktk uwanja wa dr lucian.utajua mengi ukishachaguliwa.punguz presha kijn.
 
hiv mi nauliza hakuna koz isiyo na ajira ndo maaba zikaanzishwa pili lazima tutambue kozi zenye ajira kwa urahisi ni ualimu na afya hivyo suala la ajira kama hujajaza kizi za afya na elimu utasumbuka pili umeshajaza vyuo halafu unauliza hi koz inaajira sas c ungeuliza kabla hujajaza
 
Back
Top Bottom